City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Israel muda huu inashambulia kwa makombora mashariki mwa Tehran
Israel ndege zao zinalala Angani au... Hizi taarifa ni marudio mbona leo Iran anapigwa kila baada ya saaIsrael muda huu inashambulia eneo la Qom
kama kawaida wasemavyo.. asubuhi tunaona nyumba zimebomoka..Drones muda huu zimekua intercepted
Si marudio, ni mashambulizi yanaendelea muda huuIsrael ndege zao zinalala Angani au... Hizi taarifa ni marudio mbona leo Iran anapigwa kila baada ya saa
Leo Israel inashambuliwa kutoka sehemu tatu, Yemen Lebanon na Iran..Zimeonekana Lebanon,za kutosha,nyingi kwelikweli
Oi leo ile suprise ya Iran ilikuwa kukaa kimya au 🤣 🤣kama kawaida wasemavyo.. asubuhi tunaona nyumba zimebomoka..
Iran ndio ana makombora ya kufika US, lakini EU waliona kama ni threat, hivyo akatengeneza missiles za ku target maeneo ya middle East...Ishu sio makombola mangapi.
Iran adui Yao mkubwa ni USA
Na Israel. Ila hasa USA.
Je wanamakombola mangapi yanayofika USA?
Sehemu ya umbali wa km zaidi ya 5000km.
Israel ipo karibia 2000km.
Makombola ya kufika hizo km ni ballistic missile.
Ballistic Moja inatumia weeks mpk miezi kuisha kbs.
Afu missile kudevelop utumii miezi au mwaka Moja.
Unapoona 46 miaka SI kwamba walianza kutengeneza 46 years ago NO.
Miaka ya nyuma walikuwa wanatumia makombola ya scud kutoka urusi mpk mwishoni mwa miaka ya 90 ndo wakaja na plan ya kudevelop missile.
Na kuwa na missile inachukua stage mpk update final product.
Wanajiandaa kuzitandika B-2..Oi leo ile suprise ya Iran ilikuwa kukaa kimya au 🤣 🤣
Tatizo lako upo kishambiki.Unajiona unajua mwenyewe wakati umeandika ujinga..hayo makombora yao wsliya-develope lini?kama siyo kabla hujazaliwa.. watakua nayo mangapi?.. kwamba kombora moja ambalo mshadizaini imebaki kufyatua tu itachukua miezi!!?.. tumia kichwa chako vizuri
Mengi mno.Laki moja ni makombora mengi sana... 🤣 🤣 🤣 hebu fanyeni Research
Labda kwa data hizo kidogo naweza kuamini.Makombora ya Iran yanayoweza kufika Israel ni kati ya makombora 2000 hadi 3000.
Drone zile cheap inagharimu kati ya dola 50,000 na kuendelea, vita is very expensive
Waanze na F35 kwanza ndio wafikirie B2 spiritWanajiandaa kuzitandika B-2..
Hiyo meli ya kiintelijensia ya IranNini imeuwawa mkuu