100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
trump anajitoa kijanja akijifanya mbabe, ngoja tusubiri damage iliyotokea...Hana lolote, anataka amani
trump anajitoa kijanja akijifanya mbabe, ngoja tusubiri damage iliyotokea...Hana lolote, anataka amani
Nime amini mkuu, ngoja waamini waamke zamu yao sasa🙏🙏Taarifa hii ilikua ya kweli
Mkuu naamini Iran Itafanya kile walichosema.trump anajitoa kijanja akijifanya mbabe, ngoja tusubiri damage iliyotokea...
Nilikuwa na check vyanzo vingine nje ya JF kudhibitisha mashambulizi ya huko nikakuta ni kweli jamaa walikuwa wanashambulia sana hukoDakika chache tu hapo katoka kusema mbona naitaja sana Isfahan, Sasa akabishane na Trump
I hope viongozi hawajauliwaIsrael imeshambulia kwa makombora bunker na underground tunnel inayounganisha makazi ya viongozi huko mosalla Tehran, wametumia bunker buster bomb
Natanz na marekani pia alikua anashambuliaIsrael inashambulia kwa makombora muda huu eneo la Natanz
israel walikuwa wanaweka cover kwa ndege za usa zishambulie, ndio maana full time wallikuwa wanashambulia leo.Mkuu naamini Iran Itafanya kile walichosema.
But kwa masaa yote mashambulizi yalivyokua yanafanywa lazima tukubali pia Iran wana udhaifu.
Jibu umelipata. Mm kazi yangu ilikua kuweka tu updates wala sifaidiki na upande wowoteIsrael ndege zao zinalala Angani au... Hizi taarifa ni marudio mbona leo Iran anapigwa kila baada ya saa
Yes, mashambulizi yalikua ya kulemaza systems za Iran ili papigwe Fordowisrael walikuwa wanaweka cover kwa ndege za usa zishambulie, ndio maana full time wallikuwa wanashambulia leo.
Hiyo imetoka!!! Iran atafute tu Amani achezee Maziwa ya Mama yake asijaribu tena kuchezea Korodani za Baba yake!!!trump anajitoa kijanja akijifanya mbabe, ngoja tusubiri damage iliyotokea...
Taarifa ilikuja kilichofanyika kabla ya kulipua. Nilipokua nachukua updates walisema kuna sijui makomandoo walienda kuharibu sijui kuchukua uranium kabla ya kulipua. Sikuelewa vizuri ile taarifaHivi wadau me niulize , kwa hiyo wakishambulia hivyo vinu vya nyuklia kuviharibu , hauwezi kuwa ndo mwanzo wa hivyo vinu kulipuka ? Maana mabomu ya nuclear yanakua yametunzwa humo ? au imekaaje hii mwenye ujuzi ?
Swali zuri ngoja wakujibuHivi wadau me niulize , kwa hiyo wakishambulia hivyo vinu vya nyuklia kuviharibu , hauwezi kuwa ndo mwanzo wa hivyo vinu kulipuka ? Maana mabomu ya nuclear yanakua yametunzwa humo ? au imekaaje hii mwenye ujuzi ?
Nijuavyo Mimi Iran alikuwa kwenye Process ya kupata Nuclear Bombs hakuwa nayo na kwa sababu vinu vimeharibiwa hiyo imetoka inabidi kama ana ubavu aanze upya na process hiyo inachukua miaka mingi!!Hivi wadau me niulize , kwa hiyo wakishambulia hivyo vinu vya nyuklia kuviharibu , hauwezi kuwa ndo mwanzo wa hivyo vinu kulipuka ? Maana mabomu ya nuclear yanakua yametunzwa humo ? au imekaaje hii mwenye ujuzi ?