SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran kidume wa Michongo atafute tu Amani ama sivyo atapigwa kama mtoto. Aanze tu upya kulijenga jeshi lake lililosambaratishwa na Israel, anunue Mifumo ya ulinzi wa anga mrusi kamdanganya sana tu!! Na awazike makamanda wake salama!! Siku nyingine awe anachezea Maziwa ya Mama yake asidhubutu kabisa kuchezea Korodani za Baba yake tena!!!!
Muulize netanyahu,wiki tu kazeeka, theluthi ya telaviv ni kifusi,haifa mayor analilia amani
 
Muulize netanyahu,wiki tu kazeeka, theluthi ya telaviv ni kifusi,haifa mayor analilia amani
Hivi unajua kwamba kuna maafa makubwa sana Tehran kuliko Tel Aviv?

Media nyingi zinaonesha uharibifu wa Tel Aviv zaidi kuliko Tehran. Fuatilia utaelewa nisemacho.

Mejeruhi wa Tehran wakiripoti

"Kitu kililipuka mbele yangu, na nikaona damu ikitiririka kichwani mwangu"
Kwa sababu ya shambulio la Israeli juu ya Irani."

Sio kwamba Israeli hakuna majeruhi au maafa lakini Iran inapokea uharibifu zaidi na vifo vya top leaders wake. Huu ndio ukweli ambao wengi hawapendi kuusikia.
 
Iran ijifunze kwenye hili, ule ujinga wa kila shambulizi wanafanya matangazo waache.. kama wakianza kushambulia bases za US haina haja kutoa taarifa..
Mkuu mm nadhani zungumzieni pia na uhalisia, Iran kwenye hii vita wameonyesha udhaifu mkubwa. Kwanza ndege kutawawala siku nzima ni udhaifu, kwa namna walivyo powerful haikupaswa ndege siku nzima zinazunguka na kupiga wanapotaka
 
Nijuavyo Mimi Iran alikuwa kwenye Process ya kupata Nuclear Bombs hakuwa nayo na kwa sababu vinu vimeharibiwa hiyo imetoka inabidi kama ana ubavu aanze upya na process hiyo inachukua miaka mingi!!
Hujui chochote, chernobyl palikua na nuclear bombs?..we mtupu sana
 
Hivi wadau me niulize , kwa hiyo wakishambulia hivyo vinu vya nyuklia kuviharibu , hauwezi kuwa ndo mwanzo wa hivyo vinu kulipuka ? Maana mabomu ya nuclear yanakua yametunzwa humo ? au imekaaje hii mwenye ujuzi ?
Hapana... Kuna kitu kinaitwa Critical mass
 
Hivi unajua kwamba kuna maafa makubwa sana Tehran kuliko Tel Aviv?

Media nyingi zinaonesha uharibifu wa Tel Aviv zaidi kuliko Tehran. Fuatilia utaelewa nisemacho.

Mejeruhi wa Tehran wakiripoti

"Kitu kililipuka mbele yangu, na nikaona damu ikitiririka kichwani mwangu"
Kwa sababu ya shambulio la Israeli juu ya Irani."

Sio kwamba Israeli hakuna majeruhi au maafa lakini Iran inapokea uharibifu zaidi na vifo vya top leaders wake. Huu ndio ukweli ambao wengi hawapendi kuusikia.
Media gani zinaonesha telaviv, wakati media hazitakiwi kurusha maafa bila jeshi kupitia picha?..raia akipandisha mtandaoni ni kesi ya kumsaidia adui, ulikua shimoni!?
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-21-15-05-55-778.jpg
    Screenshot_2025-06-21-15-05-55-778.jpg
    256.4 KB · Views: 18
Back
Top Bottom