Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 746
- 852
Kwanini hicho kinu akijaguswa mkuu? Ufafanuzi tafadhali 🙏Wataenda uturuki kupatana,atafunguliwa assets zake,kazi inaendelea kwenye vinu vingine,kinu anachofanya kazi mrusi hakijaguswa
Kwanini hicho kinu akijaguswa mkuu? Ufafanuzi tafadhali 🙏Wataenda uturuki kupatana,atafunguliwa assets zake,kazi inaendelea kwenye vinu vingine,kinu anachofanya kazi mrusi hakijaguswa
Waliingia ndani wapi?Kabla ya fordow kupigwa, wanajeshi wa israel waliingia ndani na kuondoa hatari zote
Mkuu inakuaje tena wanajeshi wa Iran? Hilo zoezi limefanywa na marekani na Israel buka mtu yoyote kujua. Iran yeye ni mhanga muda wote alikua anashambuliwa ili kulegezwaWanajeshi wa Israel au wa Iran?
Revenge is a dish better served coldIran sasa ni muda wa kufanya walichosema, ngoja tusubiri mkuu
Wakaweka kwenye mtungi wakajitwisha wakaondoka!!! “Taqiyyah “Habari ya uwongo,Iran waliondoa wenyewe enriched uranium na heavy water
Iran habari zao si za uongo kama Israel, kama mionzi ikiwepo itatangazwa..TAQIYYAH hiyo wajinga tu ndiyo wataamini uongo huo!!
Acha uwongo wewe 😂😂😃Kabla ya fordow kupigwa, wanajeshi wa israel waliingia ndani na kuondoa hatari zote
Mkuu nilipokua nachukua updates muda ule Kuna taarifa ilisema makomandoo walivamia na kuondoa hatari kabla ya kulipuliwa ili kutoleta madharaWaliingi ndani wapi?
🙏 🙏 Leta updates mkuu usichokeSerikali ya Iran muda huu inawahamisha wakazi walio karibu na eneo na fordow ambalo limeshambuliwa
Hiyo mbona general mmoja aliisema juziWakaweka kwenye mtungi wakajitwisha wakaondoka!!! “Taqiyyah “
Jamaa kazidi mahaba..Habari ya uwongo,Iran waliondoa wenyewe enriched uranium na heavy water
Vimeguswa vitatu tu,alichopo mrusi hakijaguswaKwanini hicho kinu akijaguswa mkuu? Ufafanuzi tafadhali 🙏
Kwahyo hilo zoezi wamefanya marekani na israel na sio Iran kama wanavyosema wao ?Mkuu nilipokua nachukua updates muda ule Kuna taarifa ilisema makomandoo walivamia na kuondoa hatari kabla ya kulipuliwa ili kutoleta madhara
Nimesoma sasa hivi baada ya hii taarifa kutangazwa imethibitika ni kweli zoezi Hilo lilifanyika kabla ya kulipuliwa
Mkuu unazipatia chombo gn habari zakoSerikali ya Iran muda huu inawahamisha wakazi walio karibu na eneo na fordow ambalo limeshambuliwa
Iran atafanyaje zoezi Hilo alafu Tena alipuliwe?Kwahyo hilo zoezi wamefanya marekani na israel na sio Iran kama wanavyosema wao ?
Boss unahisi vinu vya Nyuklia ni magunia ya mchele kwamba wanabeba mgongoni na kuondoa hatari?Mkuu nilipokua nachukua updates muda ule Kuna taarifa ilisema makomandoo walivamia na kuondoa hatari kabla ya kulipuliwa ili kutoleta madhara
Nimesoma sasa hivi baada ya hii taarifa kutangazwa imethibitika ni kweli zoezi Hilo lilifanyika kabla ya kulipuliwa
Huenda Aljazeera!,,,😀😃😀😄Mkuu unazipatia chombo gn habari zako
Sasa si anatoa Vinu vyake na kuacha jengo tupu na kuvificha kwengine?Iran atafanyaje zoezi Hilo alafu Tena alipuliwe?
Soma vizuri hiyo taarifa