Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,688
Sio rahisi kuchukua nchi kwa kupiga piga na ndege.Ana kiranga leo myahudi, marekani anaingia rasmi mchezoni weekend hii,labda israel anaandaa njia Ili wafike Tehran chapu,wachukue nchi
Sio rahisi kuchukua nchi kwa kupiga piga na ndege.Ana kiranga leo myahudi, marekani anaingia rasmi mchezoni weekend hii,labda israel anaandaa njia Ili wafike Tehran chapu,wachukue nchi
Iran inapanga shambulizi la karne... tutasikia humu..Mbona Iran imepoa sana kaka!?
Shida nini huko au wamefeli wapi!?
You didn't get itSio rahisi kuchukua nchi kwa kupiga piga na ndege.
Waisrael wenyewe wanashangaa mbona leo kimyaIran anataka kutoa shambulizi la onyo kwa yeyote ataekaribia kunzia saa nane usiku
Kwa zama hizi za habari zote ziko kiganjani, na hasa ukiwa hapa JF, haitakiwi uongee kama uko kijiweni....Vidole na macho,staha,hawapendi namna hiyo
Duh sasa Iran atabakiwa na nini sasaIsrael muda huu inashambulia kwa makombora eneo la maragheh
Huenda muda mfupi uliopita b-2 zilionekana kunywa mafuta angani, meaning zilikua zimebeba mzigo mzito(mabomu)Taarifa isiyo rasmi inasema Kuna mashambulizi makali muda huu eneo la nuclear la fordaw. Tusubiri taarifa rasmi, hii sio rasmi
Ngoja tuoneDuh sasa Iran atabakiwa na nini sasa
Maisha magumu kwako wewe labdaHaiwezi kuwa kwa ajili ya fordow tu, silaha zile alizopeleka middle east marekani,kuna vita vyaja,inasemekana Trump atahutubia taifa leo kuingia mzigoni,tusubiri maisha magumu
Kwan iran aliwakosea nini hawa jamaa Dada yanguHaiwezi kuwa kwa ajili ya fordow tu, silaha zile alizopeleka middle east marekani,kuna vita vyaja,inasemekana Trump atahutubia taifa leo kuingia mzigoni,tusubiri maisha magumu
Itakua Fordow imeshasambaratishwa?Huenda muda mfupi uliopita b-2 zilionekana kunywa mafuta angani, meaning zilikua zimebeba mzigo mzito(mabomu)
Kusuuzwa rungu maana yake wewe ndiyo mtombaji,usidandie maneno bila kujua maanaKwa jinsi Iran anavyosuzwa rungu Kosugi atakuwa kashalala muda sana