SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

USA wanahamisha staff wao wa ubalozi wa marekani waliopo Tel Aviv muda huu, tishio kubwa la majibu ya Iran kwa kutumia Khyber- 4 Missiles makombora yenye hatari yanaweza kurushwa usiku huu
USA kama hujui ni kwamba amesogeza vifaa muhimu vya kijeshi hata ndege za B-2 unaambiwa zote zipo ukanda huo...

Kila siku kuna safari za ndege za kijeshi za USA zinarekodiwa kutoka Ulaya kuja meddle East. Hii vita Iran angesalimu amri tu
 
Punguza kutumia maneno ya Unaambiwa, unaambiwa, unaambiwa, nani anakwambia? Au kijiwe cha kahawa?
 
Hakuna jeshi west lenye uwezo wa kupigana kama Russia, hasa ardhi, na huwezi kushinda vita pasipo kukanyaga ardhi... US wana jeshi la hovyo ardhini hata IDF wanawazidi...
USA jeshi la anga ndo zuri.
Hata wao wanajua Hilo ndo maana wanawekeza sana jeshi la anga.
Jeshi lao la angu ni kubwa kuzidi hata la urusi.
Ila ardhini USA hamna kitu
 
Kwan iran hana air defense au inakuwaje yaan
Zimearibiwa japo sio zote
Unajua huku watu hawajui kwamba.
Dunia ya sasa kwenye ndege za vita Kuna radar za kuchunguza radar za ardhini zA adui kwamba ziko wapi.

Hata ndege za upelelezi Zina mtambo wa radar zinachukuza radar zA aduni chini zipo wapi.

Mfano ndege ya ufaransa ya Rafael inauwezo wa kugundua radar ya adui km100 kutoka ilipo.
So nirahisi kujua ipo wapi na kuitarget.
 
Back
Top Bottom