SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

💥💥💥💥
Video footage: muda huu wananchi wa jiji l karaj wanaandamana kutokana na tatizo la umeme ambalo linawakabili.
Wananchi wanaimba "kifo kwa Khamenei", "kifo kwa dikteta"
 

Attachments

  • 2025-08-06_01-12-41_0.mp4
    474.9 KB
💥💥💥💥💥
Video footage: Mlipuko mkubwa sana umetokea muda mchache uliopita kwenye kambi ya jeshi ya Shiraz. Ni shambulio kubwa la drone.
 

Attachments

  • 2025-08-06_01-16-40_0.mp4
    1.4 MB
💥💥💥💥
Video footage: mlipuko mkubwa na moto mkubwa katika kambi ya jeshi ya Shiraz, shambulizi la drone limefanyika.
Kuhusu majeruhi au madhara yoyote taarifa itakujia hivi punde.
 

Attachments

  • 2025-08-06_01-21-02_0.mp4
    611 KB
💥💥
Soko la hisa linazidi kuanguka, hili ni anguko la points 34000.
Watu sasa waanza kuchukua hatua kwa kuondoa mitaji yao
20250806_165842.jpg
 
💥💥💥💥
Video footage: Mlipuko mkubwa umetokea kwenye moja ya jengo huko pardis, madhara yametokea pia kwa magari kuungua. Jeshi la zimamoto na uokoaji limefika kufanya uokoaji
 

Attachments

  • 2025-08-07_12-21-26_0.mp4
    8 MB
💥💥💥💥
Video footage: mlipuko mkubwa umetokea eneo la district 19 - Tehran
 

Attachments

  • 2025-08-07_12-32-08_1.mp4
    183.9 KB
💥💥💥💥
Video footage: mlipuko mkubwa umetokea karibu na mehrabad airport
 

Attachments

  • 2025-08-07_12-37-44_0.mp4
    471.4 KB
💥💥💥💥
Video footage: wananchi wameandamana sababu ya ukosefu wa maji na umeme. Wamefunga barabara kubwa ya pol dokhtar to khoramabad
 

Attachments

  • 2025-08-07_12-43-08_0.mp4
    1.5 MB
💥💥💥
Video footage: maandamano hayo na kufunga barabara yalianza jana usiku
 

Attachments

  • 2025-08-07_13-00-04_0.mp4
    404.4 KB
Abdolrahim Mousavi, Mkuu wa Majeshi ya Iran, alitangaza kuwa "Iran ina uwezo wa kujibu mara moja uchokozi wowote, na hatuombi ruhusa ya mtu yeyote kutetea haki zetu."

Kulingana na yeye, Iran haifanyiki peke yake bali kama sehemu ya "Mhimili wa Upinzani," ikijiona kama kiungo kikuu katika mapambano.

Mousavi aliongeza: "Kila familia ya Iran ni ngome yenyewe dhidi ya mashambulizi ya adui. Hiki si msimamo wa kijeshi tu, bali ni wa kitaifa."
The
Je, tumkumbushe yaliyowapata watangulizi wake katika jukumu hili?
 

Attachments

  • 10.mp4
    728.8 KB

Attachments

  • IMG_3466.jpeg
    IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 30
  • IMG_3479.jpeg
    IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 30
  • IMG_3499.jpeg
    IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 28
Na aliyeuza ramani ni yule mpuuzi Ashraf Marwan, aendelee kuchomwa moto huko aliko.

Hadi sasa ni kizungumkuti haijulikani aliyemuua alikuwa nani, natamani sana iwe ni mamlaka za Misri.


Ashraf Marwan alikuwa ni sehemu ya "deception campaign" ya Misri wakati wakijiandaa na vita vya 1973. Ni Marwan ndiye alipenyezwa katika Intelligence ya mazayuni kuwazubaisha. Hivyo alikuwa upande wa Misri. Na Marwan alijipeleka mwenyewe kwa mazayuni mwaka 1969 wakamkataa ila wakamchukua mwaka 1970 na akafanya kazi yake ya kuwachanganya mazayuni na kuwazubaisha.

Six days war ilikuwa ni 1967 Marwan hahusiki huko.
 
Hakuna cha kupiga hapo unaiga nini toka Iran? Kipigo walichokipata baada ya vita vya siku 12 vimewaweka wazi wengi Wame elewa ni njinsi gani Jeshi lao lilivyo dhaifu kwa kupoteza makamanda wake waandamizi 30 kwa siku moja
Na wewe unaamini hayo mapicha?
 
Back
Top Bottom