Israel ni taifa lilojengwa kwenye uongo mwingi sana ndo maana vita vya 12 vimewaanika japo wameficha sana taarifaMkuu hii mbona ni obvious kwa nchi ambayo imetoka imetoka vitani na tension ya vita bado iko juu!
Tuonyeshe na soko la hisa la Israel kwa wakati huu (Au habari yake haina mwendelezo?)
Umemiss kuona Tel Aviv ikiwaka moto!?Tunasubiri mzunguko wa pili
Nalog off