SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

💥💥💥💥
Video footage: wananchi wa mji wa Sabzevar wakiandama sababu ya ukosefu wa maji na umeme
 
Attachments

  • 2025-07-22_23-06-58_0.mp4
    78.7 KB
💥
Nitapunguza kuleta updates, kwa wale niliowakwaza na ninaowakwaza wanisamehe, sina. Maslahi yoyote kwenye hizi Vita/migogoro
Mkuu leta habari yoyote usijali

Hakuna watu serious sAna humu,
Zaidi ya ushabiki maandazi tu Hadi kwenye vita
Sio Iran Wala Israel inayofafahamu Kuna wabongo wanaishabikia

Ni ujinga mtu kuumia au kwakwazika kisa habari ya kupigwa kwa Israel aU Iran

Nasema hivi Iran anapigwa kimya kimya Hadi ateme bungo / utawala wa m ayatollah chali 😄😄😄
 
Sawa mkuu
 
💥💥💥💥
Assassination imefanyika: Gari limeshambuliwa(limelipuka) mtaa wa mahallati Jijini Tehran
 
💥💥💥💥
Assassination iliyofanyika mtaa wa Mahallati, Tehran.
Bado haijajulikana ni nani amekua assassinated
20250723_021429.jpg
 
Kwahiyo baada ya miji ya.israel kuchakazwa imebidi walipize kwa kupandikiza milipuko ndani ya.tehran?
 
Tena kapigwa na kachakazwa na Wanaume wakiwa uko uko Iran !!!

na bado Muisrael karusha taulo miji yake imebomolewa vibaya!!!!

Sasa sijui siku Wanaume awa Wairan wakiamua nawao kumfata Mchepuko wao uko uko Israel !!!!

Sijui Itakuwaje na Walokole wetu uku wataandamana kupinga ukatili wa Iran!!

k mana Wairan ndio watu wenye uwezo Mkubwa wa Akili !!!

na ukweli Waisrael kila kitu anachomfanyia Muiran ujue Iran itajibu kwa ukubwa zaidi kwasasa !!

kwakuwa Israel imechagua Vita ya Kigaid ujue na Iran itawajibu kwanjia iyo iyo son tu!!

Muisrael akiona anafanyiwa yeye achelewi kupiga kelele za Iran ni Magaid kupitia Media zao !!!

lkn Iran ni noma uwaga ikitaka jambo lake uwa kelele za Media hazimzui kutimiza jambo lake !!

Muisrael kwa muiran muisrael achague yeye tu anataka apigwege kigaid kitechnology ya Kijesh yoyote ile bado itapodwa tu.!!!

ichi inachofanya sasa bado Muisrael ndio itajutia muda ndio Mwalimu!!!

japo kipigo kikianza na milipuko wataficha kweli kweli lkn ipo mingine tutajua tu.. !!!

Muisrael kachagua Ugaid Wairan wapo jikon muda ndio Mwalimu..

Wairan Wakianza iyo kazi waisrael watawasingizia Wapalestina kupitia MEDIA zao.
 
Huu ushairi wote wa nini mkuu
Wasaidieni wapate huduma muhimu umeme na maji

Ya wafyatue makombora yazalishe umeme
Sio unawekeza mabilioni kupambana na Taifa dogo size ya mkoa wa Arusha

MaAyatollah hajui vipaumbele vya serikali
Wasubiri watimulie na wananchi wao wenyewe
 
💥💥💥💥
Baada ya checkpoint kwenye jimbo la Kurdistan kushambuliwa imepelekea vifo vya zaidi ya Askari 10.
Hadi sasa majina ya makamanda waliokufa ni mawili tu ndio yamewekwa hadharani ambao ni luteni kanali Sajad Addib na Luteni Ali Badagh
20250723_125014.jpg
 
💥💥💥💥
Mlipuko mkubwa nyuma ya hospital ya shahadae Tajrish- Tehran
 
💥💥💥💥
Video footage: Mlipuko mkubwa na moto Venus complex eneo la caspian Tehran
 
Attachments

  • 2025-07-23_12-58-20_0.mp4
    2.3 MB
Ukimya wa Iran sijui unaashiria nini!?
Maana haya ni matendo ya kigaidi ya Israel kwa wazi kabisa.
Siku wakijibiwa wasilalamike.
Nimeona gazeti la New York Times wanasema Iran imeanza kunusa huenda Kuna hujuma kufuatia hii milipuko na moto kila siku, hivyo wanachunguza zaidi nini kipo nyuma yake
20250723_130036.jpg
 
💥💥💥💥
Baada ya checkpoint kwenye jimbo la Kurdistan kushambuliwa imepelekea vifo vya zaidi ya Askari 10.
Hadi sasa majina ya makamanda waliokufa ni mawili tu ndio yamewekwa hadharani ambao ni luteni kanali Sajad Addib na Luteni Ali Badagh
View attachment 3415638
Haijajulikana shambulizi hili limetekelezwa na nani. Iran inaendelea na uchunguzi
 
Back
Top Bottom