MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Huu uzi uko live sababu City Thunder OKC anawachanganya mods na milipuko ya baruti uko Tehran. Ila sisi tunajua vita imeisha kitambo sana.Taarifa zake ni zake yeye tu ukija kwengineko ukuti iyo habari mfano Al jazeera lkn ndugu yetu bado anatutangazia Vita vinaendelee !!!!
Mkuu hili la mlipuko sio mara zote huwa mkubwa, correspondents waliopo ndio husema wala sio mimi, majirani waliopo eneo la tukio husema pia wala sio mimiMlipuko mkubwa umetokea kwenye nyumba moja huko Tehran..
Yaani jamaa hata ikipigwa fireworks 🎇 Tehran, utasikia mlipuko mkubwa umetokea kwenye anga la Tehran...
Hata pancha ya gari ikitokea Iran, utasikia mlipuko mkubwa wasikika...
Aisee we City Thunder OKC ni balaa...
Nilishaeleza mwanzo. Mfano Leo muda mchache uliopita msemaji wa jeshi la Israel huko Persian anazungumzia kuhusu shambulizi walilofanya makao makuu ya polisi. Hii habari nawezaje kuja kuiweka? Sababu sioni muendelezo wowoteMbona husemi mpk tupige kelele ...mzee wa achechee production
Tatizo kubwa hapa ni Wafuga Midevu na Majini hawataki Iran apigwe pamoja na kwamba Iran kweli anapigwa wao hawataki tu kusikia habari hizo.Hakuna niliposema vita inaendelea, hata Iran n Israel wenyewe hawajatuhumiana popote. Mm nacholeta ni matukio yanayoendelea kotekote baada ya Vita
Mkuu vyanzo vingine vipi hukuti? Pia media huchelewa hizi habariTaarifa zake ni zake yeye tu ukija kwengineko ukuti iyo habari mfano Al jazeera lkn ndugu yetu bado anatutangazia Vita vinaendelee !!!!
Mkuu habari mbaya kuhusu Israel zipo na naziwekaga. Sasa sijui tatizo lipo wapiTatizo kubwa hapa ni Wafuga Midevu na Majini hawataki Iran apigwe pamoja na kwamba Iran kweli anapigwa wao hawataki tu kusikia habari hizo.
Wana ho taka wao Waambiwe Israel anapigwa hata kama hapigwi!!! Hapo ndipo utajua watu hao wana matatizo makubwa sana akilini mwao!!!!
Mkuu mimi taarifa nazitoa kutoka kwa watu wanaoishi karibu kabisa na eneo na tukio lilipotokea.Huu uzi uko live sababu City Thunder OKC anawachanganya mods na milipuko ya baruti uko Tehran. Ila sisi tunajua vita imeisha kitambo sana.
Labda tumerudi kwenye cold war kati ya hizo nchi mbili.
Hizi taarifa huzikuti kwenye vyanzo vingine vya habari zaidi yake mwenyewe.
Kwa hio una watu Tehran wanaokupa habari ...na bahat nzuri Kila mlipuko unatokea karib na watu wakoMkuu mimi taarifa nazitoa kutoka kwa watu wanaoishi karibu kabisa na eneo na tukio lilipotokea.
Mfano ile taarifa ya mlipuko na moto huko jiji la Mashhad jana usiku, Kuna mtu yeye ana duka ambalo linatizamana na tukio lilipotokea, ndio alikua anachhkua picha na videos na kutupa updates.
Bado Kuna majirani wengine ambao mliouko wanausikia na kila kinachoendelea.
Sipafi faida yoyote nikisema hivi au vile, naweka updates kulingana na uhalisia uliopo
Mkuu sijasema ni watu wangu, nimekuambia watu walio karibu na yanayotokea ndio hutoa taarifa, yapo magroup ya WhatsApp pia kupitia telegramKKwa
Kwa hio una watu Tehran wanaokupa habari ...na bahat nzuri Kila mlipuko unatokea karib na watu wako
Naona unaumia sana Iran kupigwa ndani kwa ndani!! Hata hivyo jipe moyo tu kwa kunywa Panadol maumivu yatakwishwa!!!KKwa
Kwa hio una watu Tehran wanaokupa habari ...na bahat nzuri Kila mlipuko unatokea karib na watu wako
Amna leta kaka, ndio jukumu na dhumuni na kuanzishwa kwa huu uzi sidhani kama kuna lingine💥
Nitapunguza kuleta updates, kwa wale niliowakwaza na ninaowakwaza wanisamehe, sina. Maslahi yoyote kwenye hizi Vita/migogoro