Mkuu hii habari ina muendelezo hadi umepata ujasiri wa kuiweka hapa?Ndege ya jeshi Toka urusii imetua tena Iran ....
Mkuu hiyo kwa sasa itakua kurudi nyuma Sana, Nina videos na picha nyingi tu mpya za hii vita kotekote Iran na Israel, kwa nn nirudi kusimulia jambo la nyuma lisilokuwa na muendelezo wakati mapya yapo?Muendelezo imekua tamthilia hio .we sema tukio
Asa kama sehem imelipuliwa unataka muendelezo Gani ?
😂😂😂😂 Kikubwa mlipuko mkuuuuubwaaaaMkuu hii habari ina muendelezo hadi umepata ujasiri wa kuiweka hapa?
Ingawa sijui muendelezo unaokusudiwa ni upi yaani.
Ni mlipuko wa baruti?💥💥💥💥
Muda mchache uliopita mlipuko mkubwa umetokea Tehran
Wenzako Iran wanaamini wanapigwa na MajiniMlipuko mkubwa umetokea kwenye nyumba moja huko Tehran..
Yaani jamaa hata ikipigwa fireworks 🎇 Tehran, utasikia mlipuko mkubwa umetokea kwenye anga la Tehran...
Hata pancha ya gari ikitokea Iran, utasikia mlipuko mkubwa wasikika...
Aisee we City Thunder OKC ni balaa...
Hayo majini yalikuwa wapi kuzuia hypersonic zilizotua Israel?Wenzako Iran wanaamini wanapigwa na Majini
Mkuu hiyo kwa sasa itakua kurudi nyuma Sana, Nina videos na picha nyingi tu mpya za hii vita kotekote Iran na Israel, kwa nn nirudi kusimulia jambo la nyuma lisilokuwa na muendelezo wakati mapya yapo?
Mfano: Israel ikifanya shambulizi la kutaka kumuua Raisi wa Iran, kutokana na hilo Iran kwa sasa wameanza uchungui kwenye idara ya raisi, Iran inasema inajiandaa kulipa kisasi,
Hyo ndio mfano wa muendelezo
Mkuu habari Zang ni kama single movie hazina muendelezo 🤣🤣Mkuu hii habari ina muendelezo hadi umepata ujasiri wa kuiweka hapa?
Ingawa sijui muendelezo unaokusudiwa ni upi yaani.
Unajua kwanini kaitaja ya Iran hapo anajifanya mjanja anakujibu kijanja janja hato igusa habari ya Israel hapo.Mbona husemi mpk tupige kelele ...mzee wa achechee production
Alaf miendelezo ya milipuko yake inaisha gari la zima moto likifka tuhMlipuko mkubwa umetokea kwenye nyumba moja huko Tehran..
Yaani jamaa hata ikipigwa fireworks 🎇 Tehran, utasikia mlipuko mkubwa umetokea kwenye anga la Tehran...
Hata pancha ya gari ikitokea Iran, utasikia mlipuko mkubwa wasikika...
Aisee we City Thunder OKC ni balaa...
Kitambo tushamjua ni mwandishi wa gazeti la mwanatel avivUnajua kwanini kaitaja ya Iran hapo anajifanya mjanja anakujibu kijanja janja hato igusa habari ya Israel hapo.
Muacheni kijana alete taarifa mbona nyie hamleti zenuMlipuko mkubwa umetokea kwenye nyumba moja huko Tehran..
Yaani jamaa hata ikipigwa fireworks 🎇 Tehran, utasikia mlipuko mkubwa umetokea kwenye anga la Tehran...
Hata pancha ya gari ikitokea Iran, utasikia mlipuko mkubwa wasikika...
Aisee we City Thunder OKC ni balaa...
Taarifa zake ni zake yeye tu ukija kwengineko ukuti iyo habari mfano Al jazeera lkn ndugu yetu bado anatutangazia Vita vinaendelee !!!!Muacheni kijana alete taarifa mbona nyie hamleti zenu
Sababu huwa anaambatanisha na picha au video sioni kama ni tatizo all in all nafurahi namna anavyozidi tupatia taarifa muhimuTaarifa zake ni zake yeye tu ukija kwengineko ukuti iyo habari mfano Al jazeera lkn ndugu yetu bado anatutangazia Vita vinaendelee !!!!
Wewe lazima utamuamini mana ndio kipoza Nafsi uwongo uwongo koreaaa sio hapana kwenu mana sio zambi kwenu.Sababu huwa anaambatanisha na picha au video sioni kama ni tatizo all in all nafurahi namna anavyozidi tupatia taarifa muhimu