SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

💥
Ujumbe wa waziri wa ulinzi wa Iran. Anasema hana imani na ceasefire ya Israel.
20250715_001919.jpg
 
💥💥💥💥
Video footage: Mlipuko mkubwa na moto mkubwa kwenye jiji la Mashhad
 

Attachments

  • 2025-07-15_01-25-43_0.mp4
    310.8 KB
💥💥💥
Video footage: Mlipuko mkubwa na Moto mkubwa muda huu jiji la Mashhad, vikosi vya zimamoto na uokoaji vimefika
 

Attachments

  • 2025-07-15_01-24-29_0.mp4
    314.7 KB
💥💥💥💥
Video footage: Mlipuko mkubwa na moto mkubwa muda huu katika jiji la Mashhad. Bado vikosi vya zimamoto vinapambana
 

Attachments

  • 2025-07-15_01-41-14_0.mp4
    502 KB
💥💥
Taarifa isiyo rasmi kuhusu Moto katika jiji la Mashhad, taarifa zinaeleza kuwa ni kutoka kwenye hotel na apartment ambapo inasadikika kuwa kuna mtu/watu wamekua assassinated
 
💥💥💥💥
Video footage: Moto mkubwa bado unaendelea kwenye majengo katika jiji la Mashhad
 

Attachments

  • 2025-07-15_02-29-05_0.mp4
    1.2 MB
💥💥💥
Video footage: Moto mkubwa ukiendelea katika jiji la Mashhad
 

Attachments

  • 2025-07-15_02-40-39_1.mp4
    948.2 KB
Back
Top Bottom