Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Iran anashambuliwa na watu asiowajua wiki sasa halafu anajisifu eti ana intelijensia kali, sema Israel kashashindikana
Hapo umekubal haya mambo ya ugaidi ni Israel pekee ndio inaeza panga haya mamboHawana uwezo wa hizi mission labda wajitoe muhanga, mkali wa hizi kazi ni Israel pekee mashariki ya kati yote
Ni sahihi hawawezi kuituhumu directly kwasababu ushahidi wa wazi haujapatikana ila kinadharia inafahamika ni wao.Itakua, ngoja tusubiri maana Iran hawawezi kuituhumu moja kwa moja Israel, sababu watakua wanavunja ceasefire agreement
Ana akili sana jamaa huyu.💥
Ujumbe wa waziri wa ulinzi wa Iran. Anasema hana imani na ceasefire ya Israel.
View attachment 3406258
Na navyowajua Iran hawatochelewa kupata ushahidi,na wakipata wakajiridhisha ni Israel kafanya aisee😂😂😂😂kisasi kama kile Cha Qassem Soleimani kitatokea.Israel inafanya ugaidi..
Israel anachotafuta ni kuilazimisha Iran ianze kushambulia halafu waanze ku play victim ili NATO wamsaidie..Na navyowajua Iran hawatochelewa kupata ushahidi,na wakipata wakajiridhisha ni Israel kafanya aisee😂😂😂😂kisasi kama kile Cha Qassem Soleimani kitatokea.
Au kisasi kama cha Iran consulate pale Damascus kitatokea.
Wao wanajitahidi sana kufanya TAQIYYAH kwa kutudanganya huo ni mlipuko wa Gas tu!!!!💥💥
Video footage: mlipuko mkubwa umetokea eneo la Qom
Iran sio wajinga na NATO pia sio wapumbavu.Israel anachotafuta ni kuilazimisha Iran ianze kushambulia halafu waanze ku play victim ili NATO wamsaidie..
We kichaaa yule nyeta nahu anavyo haha kwa trump tumuiteje🇮🇷🇹🇷 Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi baada ya kuku tana na Putin kakimbilia tena China kute beza Bakułi kwa Rais wa China Xi Jinping.
Ziara hizi zote ni kufuatia kipigo cha mbwa-koko walichokipata June 13,2025 sasa wanajitahidi kutembeza bakuli ili kusaidiwa endapo Israel itaamua tena kuwashushia kipondo Kingine!!!
We jamaa una connection na watu wa zima moto wa Tehran💥💥💥
Muda mchache uliopita Moto mkubwa karibu na eneo la Tabriz city tower huko katika jiji la Tabriz
Vikosi vya zimamoto na uokoaji viunafanya kazi ya kupambana nao
Habari kama hizi Yule jamaa wa mlipuko mkubwa hatoagi sijui Kwa niniPicha zimetoka zikionyesha kambi ya jeshi la US al udeid iliopo Qatar ikiwa imelengwa radar iliyokuwepo kambini hapo na kubaki majivu huku patriot zikifeli kuzuia shambulizi hilo..
Radar hio yenye thamani ya usd 15 million iliwekwa 2016, na ni radar iliyokuwa ikitumika na jeshi la US eneo la mashariki ya kati kwa mawasiliano na kupokea command kutoka nyumbani...
Kwa hio pinpoint na accuracy ya hilo kombora nadhani ho radar ilikuwa muhimu sana kwa US army hayo maeneo...
![]()
source....business insider..
Yule kashajulikana upande alipoHabari kama hizi Yule jamaa wa mlipuko mkubwa hatoagi sijui Kwa nini
Huko wanaishi watu, kwa hiyo hakuna kinachotokea kisijulikane.We jamaa una connection na watu wa zima moto wa Tehran
Kila moto chap ushapost
Mkuu nilieleza hili kuwa, jambo la nyuma huwa naweka endapo linakua na muendelezo. Si hayo hata mengi ya Iran ya nyum nayopata sasa siyaweki humu sababu naona ni habari isiyo na muendelezoHabari kama hizi Yule jamaa wa mlipuko mkubwa hatoagi sijui Kwa nini
Mkuu kila habari ya nyuma nitakuwa naiweka hata kama haina muendelezo kwa sasa? Si itakua tunarudia yaleyale yaliyoshatokea wakati yapo mengi kwa Sasa yanayoendelea kutokea?Yule kashajulikana upande alipo
Utasikia hii habari haina mwendelezo mpaka unajiuliza mwendelezo tena?
Ila sio mbaya kikubwa ana mlipuko mkuuuuuubwaaaaa😂
Muendelezo imekua tamthilia hio .we sema tukioMkuu nilieleza hili kuwa, jambo la nyuma huwa naweka endapo linakua na muendelezo. Si hayo hata mengi ya Iran ya nyum nayopata sasa siyaweki humu sababu naona ni habari isiyo na muendelezo
Mfano: huu ni uwanja wa Tabriz, habari yake ilikuja lakini sikuiweka
View attachment 3406916
Mfano mwingine juzi ilikuwepo habari, hii ni sehemu ambayo Raisi Pezeshkian alitorokea baada ya shambulizi, lakini sikuiweka
View attachment 3406917
Mfano mwingine nina videos hapa za shambulizi lililotokea kwenye vikosi vya basij, lakini sikuiweka sababu sikuona Kama Ina muendelezo
Mfano wa mwisho, Jana nilikua na habari ya refueling plane kuingia Iran na kufanya refuelling kwenye ndege vita za Israel, lakini sikuiweka sababu sikuona muendelezo