SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

💥💥💥
Video footage: Mlipuko mkubwa umetokea jioni hii katika jiji la Tabriz kwenye eneo la amusement park ya Baghlar Baghi, karibu na hospital ya Valiasr international
 

Attachments

  • 2025-07-16_20-44-19_0.mp4
    939.9 KB
Ndugu wasikutishe wewe endelea tu kutupatia taarifa kama kuna mtu anaumia nimeshawapa Ushauri watumie tu Panadol maumivu yatakwisha!!!!
 
FB_IMG_1752728193625.jpg
 
💥💥💥💥
Video footage: Moto mkubwa ukiwa unaendelea eneo la Manihwi huko Abadan
 

Attachments

  • 2025-07-20_11-12-37_0.mp4
    2.6 MB
💥💥💥
Video footage: Maandamano ya wananchi sababu ya gharama kubwa ya kodi ya nyumba eneo la Mahdi bazaar Abbas huko Tehran
 

Attachments

  • 2025-07-20_11-17-08_0.mp4
    1.4 MB
💥💥💥💥
Mlipuko mkubwa umetokea eneo la Bahonar Boulevard - Rasht.
Uharibifu wa jengo, magari, maduka. Imeripotiwa kutokea majeruhi kadhaa
20250720_211859.jpg
 
💥
Ujumbe wa waziri wa nishati wa Israel kwenda kwa wananchi wa Iran ambao wanakumbwa kwa sasa na uhaba wa maji
20250720_212555.jpg
 
💥💥💥
Inaripotiwa kuwa kuna kikao Cha mkuu wa majeshi wa Iran pamoja na Putin leo
 
💥💥💥💥
Taarifa isiyo rasmi kuhusu kuumwa kwa Netanyahu, inasemekana anaumwa sio kidogo sio sana pia
 
💥💥💥
Video footage: mlipuko mkubwa ambao umetokea huko Rasht, jeshi la zimamoto na uokoani wamefika kufanya uokoaji
 

Attachments

  • 2025-07-20_21-46-27_0.mp4
    1.2 MB
💥💥💥💥
Video footage: Mlipuko mkubwa sana umetokea muda huu eneo la Rezvanshahr
 

Attachments

  • 2025-07-21_00-18-36_0.mp4
    179 KB
💥💥💥💥
Video footage 2: Mlipuko mkubwa umetokea huko eneo la Rezvanshahr
 

Attachments

  • 2025-07-21_00-24-11_0.mp4
    460.2 KB
Back
Top Bottom