SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

💥💥💥💥
Video footage 3: Mlipuko mkubwa umetokea huko Rezvanshahr
 

Attachments

  • 2025-07-21_00-24-19_1.mp4
    718.4 KB
💥💥
Iran imetoa jina la kamanda wa jeshi aliyeuwawa kufuatia mashambulizi ya Israel.
Kanali Ali Razi
20250721_210304.jpg
 
💥💥💥💥
Vifo kadhaa vinaripotiwa kutokea kutokana na shambulizi ambalo limefanyika makao makuu ya polisi Tabriz.
 
💥💥💥💥
Jengo la ofisi ambalo limefanyika shambulizi kupikia pia na makamanda kadhaa wa jeshi.
Ambulances zinaenda eneo la tukio
 
Vipi Leo milipuko
Nilisema sitaweka updates zote, nitakua natoa kidogo tu
Hata hivyo milipuko ipo, muda mchache uliopita umetokea mlipuko mkubwa na moto mkubwa Venus complete , Anzali area
Video footage
 

Attachments

  • 2025-07-22_16-20-11_0.mp4
    1.4 MB
💥💥💥💥
Video footage: Mlipuko na Moto mkubwa Venus complex, eneo la Anzali
 

Attachments

  • 2025-07-22_16-26-52_1.mp4
    1.1 MB
💥💥💥
Video footage: Moto mkubwa kwenye moja ya jengo eneo la Anzali
 

Attachments

  • 2025-07-22_16-29-28_0.mp4
    946.8 KB
💥💥💥💥
Video footage: jeshi la zimamoto na uokoaji linapambana kuzima moto kwenye moja ya jengo eneo la Anzali
 

Attachments

  • 2025-07-22_16-30-56_0.mp4
    684.3 KB
💥💥💥💥
Video footage: mlipuko mkubwa kwenye moja ya apartment katika mji wa fatemi - Qom
 

Attachments

  • 2025-07-22_19-47-10_0.mp4
    2.6 MB
💥💥💥
Video footage: mlipuko mkubwa umetokea kwenye apartment katika mji wa fatimieh huko Qom.

Kwa wale watizama videos naamini mtaelewa napossma mlipuko mkubwa
 

Attachments

  • 2025-07-22_19-52-07_1.mp4
    680.4 KB
💥💥💥💥
Mlipuko mkubwa sana uliosababisha hadi ardhi kutetema, walio karibu na eneo la tukio walidhani ni tetemeko la ardhi.
 
Back
Top Bottom