SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Jana kuna MOssad agent video ilitoka hapa, akiwa anakimbizwa, jamaa alijaribu kunywa cyanide pill, hii ni sumu kali, ukimeza kidonge cha cyanide huchukui muda, hii sumu inazuia uwezo wa mwili kutumia oxygen, unakata moto chap kwa haraka...

Jamaa kakamatwa mzima, mpaka alitaka kujimaliza ina maana huko wanapopelekwa nadhani kuna mazito yanawakuta.. provided hao ndio wachora ramani wa mauajiwa generals wa Iran.. sipati picha ndio maana jamaa anaona ajiue tu...
 
Iran ni kubwa jinga sikutarajia kama atapigika hivi aisee na ka nchi ka watu 10m
 
Iran ni kubwa jinga sikutarajia kama atapigika hivi aisee na ka nchi ka watu 10m
Iran hajapigika.. Iran inapambana na US na Israel, Iran mashambulizi yake yanazuiwa na nchikaribu nne na zote zinashindwa kuzuia..
Suala la general wake kuuawa ilikuwa ni suala la kufail kwa inteligence, na sasa wanafanyia kazi, kumbuka pia US ili watrick kijanja... lakini ni fundisho wamepata..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…