Kuna waisrael wa4 wameathirika, ni majeruhi wako hospital saiviMpaka sasa yameleta athari gani kwa Israel?
Hakuna madhara, katazame video zake al JazeeraTulia ripoti itakuja kama ya Jana tu.
Jana si uliona madhara yaliyotokea?
Duru zitarushwa zaidi ya moja.Hakuna madhara, katazame video zake al Jazeera
Twitter humu ndani haifungukiUpdate: Haifa kunawaka moto
View: https://x.com/ME_Observer_/status/1933984315882230239?t=_pT_xzG8MXdxT3jg_lALlg&s=19
KipigweWaajemi noma wanaweza piga hata USA ndani ya dk 5 tu, wale sio waarabu!! 😂😂
Ona sasa Israel anavyomtomasa mwali wake
Uongo umeona wapi?Dah!,,Israeli anachapika wakuu.
Naona mitandaoni makombora yanatua Haifa.Uongo umeona wapi?
Alikua na hilo Jambia walipomuua?Kiongozi wa Wahouth inasemekana ameuliwa na Israel muda huu
🚨🚨🚨⚡️ BREAKING:
Israeli media reports the assassination of Abdul-Malik al-Houthi, leader of Yemen’s Ansar Allah (Houthi) movement.
Mkuu upo buza muda huu unajuaje kama missile za iran yanakua intercepted 😀,tuache ujuaji wabongo,israel mpaka sasa hawajajua wamepata athari kiasi mtu wa buza ushajua 😀Mpaka sasa task waliyopewa jana Israel wameifanyia homework nzuri sana yale makombora yanakuwa intercepted barabara
Ila tujipe muda
Tupo hapa Al Jazeera EnglishNaona mitandaoni makombora yanatua Haifa.
Embu Wacha tuone.