SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kaanza lini kusema zimekua intercepted kumbe chini kifusi!?
Uyu jamaa ulokolewe unajianika Iran kampa nafasi ndogo sana kwenye habari zake!!

lkn sasa ukija kwenye kinachoonekana heee Israel miji yake ndio inaisha pamoja na kuchuja Habari sana lkn izo izo ndogo zinazotoka bado zinatisha

Netanyahu sijui aliwaza nini yule mwehu.
 
Huwa anapost pia mafanikio ya Yanga na fedheha za Simba. We mfuatilie tu hasa mida ya usiku mnene utafutahia ripoti zake maana atakuwa upande wako.
Mafanikio ya yanga anayoripoti ni kurusha makombora/drone na kutunguliwa au kuangukia patupu,akisindikizia na tangazo limetoka watu watoke nje, yaani anadogosha shambulio,sawa na simba wanavyodai hawakufungwa na yanga bali kijili alijifunga
 
Moja ya uchambuzi bora nilio usoma kwenye hii vita ambae hata elewa hii hawezi kukuelewa tenaaa

mlete kwangu nimfundishe twisheni
 
Aliposema tatu zimepenya wakati huo jerusalem,haifa, telaviv, Negev, beersheba kote yametua,sasa hayo matatu yametuaje sehemu tisa?..au bouncing bomb la uingereza
Ndio unaleta na ww credible source unampinga kwa fact mbona ni simple Tu

Kuwa Tu mkweli Wewe tukikwambia ulete habari Iran inavyo chakazwa utaleta??? Kua mkweli
 
Video footage: Israel imeendelea tena kushambulia kwa makombora eneo la benbahan. Huenda kuna millatry facilities wamezilenga
 

Attachments

  • 2025-06-21_16-20-40_0.mp4
    2.3 MB
Andiko bora kabisa hili
 
Wakuu kwa siku ya Leo asubui kwenda mchana mpk jioni habari nyingi ni za kuhusu iran kushambuliwa.
Tofauti ya Jana zilikuwa za Israel sana
Mimi vyombo ninavyoviamini ambavyo sio vya wazungu wamebase sana na iran


Hao Al Jazeera
 
Ndio unaleta na ww credible source unampinga kwa fact mbona ni simple Tu

Kuwa Tu mkweli Wewe tukikwambia ulete habari Iran inavyo chakazwa utaleta??? Kua mkweli
Hoja ni wanaodai yupo neutral,mimi siwezi leta habari Iran anachakazwa sababu ntakuta washaniwshi kupost, maana habari hiyo utaiona main stream media zote, social media zote ndani ya dakika tu
 
Inavyoonekana Leo mchana mpk jioni mashambukizi mengi Yapo iran.
Israel Yapo kama drone kupiga kaskazini mwa Israel

Hapa labda jioni au night au kesho iran watajibu mapigo.
So tusubiri.
Maana wao ni missiles tu ndo wanatumia hawana kingine zaidi ya hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…