MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Hii statement inamaanisha Iran amekubali kwamba amepoteza vinu na hakuna kitu atafanya ataendelea kukaa na Uranium zakeBREAKING: Iranian TV: No nuclear radiation is expected, and all enriched uranium has been removed from nuclear facilities in advance
Kuna mtu anaitwa pantii telegram. Huyu ndio nilikua nachukua updates kwake, alikua na taarifa kila Kona ya Iran kinachoendelea. Yeye ni muiran yupo TehranMkuu unazipatia chombo gn habari zako
🤣 🤣 🤣 Strategy ya kupigwa 😂😂 kwanza kama kwenye movies za wahindiIran ina strategy zake, na hatuwezi kufahamu wanajipanga na kitu gani...
Lakini naamini watajibu kwa nguvu..
Nimekukubali kwa update Mkuu kipigo cha Leo ilikua kuandaa njia B2 spirit ije ifanye yake Leo Iran kachakazwa sana mpaka hurumaTaarifa hii ilikua ya kweli
😂😂 Waka weka bangi kwenye mtungi makamanda wakasepa kuelekea Teheran kuvuta uku wakisikilizia nondo zito zikitua 😂😂Wakaweka kwenye mtungi wakajitwisha wakaondoka!!! “Taqiyyah “
Ilikuwaje mkaamini uwezo wa Iran?😂😂 Aliwapa nini, hamjajifunza kwa watu wake wa Karibu, a.k.a ProxiesSawa hujakosea ila usisahau intelijensia USA ndio huwa anamsaidia huyo jamaa.
Mkuu umeelewa context??Sasa si anatoa Vinu vyake na kuacha jengo tupu na kuvificha kwengine?
Hicho cha mrussi kuna nini mpaka wamekiogopa mkuu?Vimeguswa vitatu tu,alichopo mrusi hakijaguswa
Al-Jazeera hawatoi update kbs..BBC news ndo mpk dakika hii hawajapost hii breaking newsHuenda Aljazeera!,,,😀😃😀😄
Kuna mtu alikuwa anasemaga vita ya Siku 6 ni uwongo.This is the dawn of a new day in the Middle East, for several reasons:
1. Israel has proven its military superiority.
2. The US stood militarily alongside Israel at the moment of truth.
3. Regardless of the results of the American attack, the Iranian image of omnipotence was shattered to pieces.
Sijasema vinu vya nyuklia nimesema Kuna vitu walienda kudisable, hata hivyo hiyo update sikuiweka sababu hata mm nilisoma sikuelewa vizuri maelezoBoss unahisi vinu vya Nyuklia ni magunia ya mchele kwamba wanabeba mgongoni na kuondoa hatari?
Iran ana nuclear sites zaidi ya nane,wamepiga tatuHii statement inamaanisha Iran amekubali kwamba amepoteza vinu na hakuna kitu atafanya ataendelea kukaa na Uranium zake
Iran au Proxies wake wakirusha kombora Qatar mbona watatoaAl-Jazeera hawatoi update kbs..BBC news ndo mpk dakika hii hawajapost hii breaking news
Ok.ok..tusubiri dakika chache zijazo tusikie rais wa dunia anahutubia niniKuna mtu anaitwa pantii telegram. Huyu ndio nilikua nachukua updates kwake, alikua na taarifa kila Kona ya Iran kinachoendelea. Yeye ni muiran yupo Tehran
Kwamba israel kashinda,huyuhuyu alikua anamlilia marekani!?Kuna mtu alikuwa anasemaga vita ya Siku 6 ni uwongo.
Walianza Hezbollah wiki, now Iran mbabe wao siku 8
Akikujibu nijulishe niko pale kwa mwarabu nakunywa Khahawa Chung na Kashata tafadhali ni-TagIlikuwaje mkaamini uwezo wa Iran?😂😂 Aliwapa nini, hamjajifunza kwa watu wake wa Karibu, a.k.a Proxies
WashanyweaHii statement inamaanisha Iran amekubali kwamba amepoteza vinu na hakuna kitu atafanya ataendelea kukaa na Uranium zake
Wamepiga karibu zote... Hiyo fordow ndio mainIran ana nuclear sites zaidi ya nane,wamepiga tatu