SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Israel,taifa la Mungu.
Hakuna taifa litakalolishinda
 
Waala hajafanikiwa,alipiga mlangoni tu,chumba hakuweza kufika, maana hapaingiliki
 
hao israel mbona wanakimbilia cyprus? famchezo nin! wanakimbia nchi yao! jana wameshushiwa kipigo mpaka bunker zao zimeanza kupasuka! israel mchumba tu bila marekani
Si huwa mnasema Marekani nayo siku hizi imechoka, iweje useme Israel bila marekani si chochote ?
 
genta hivi kweli unaweza kudhani iran itaichakaza marekani?
 
Regime change , mpka mapigano ya ardhini, kwa kuangusha msbomu mmmh
Ni ngumu sana.

Yemen hayajatokea mapigano ya ardhini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…