Yupo msalanMkuu tupe update kaka.
Picha Mkuu na chanzo Cha habari!Na kwa Taarifa yenu tu ni kwamba baada ya Marekani kumaliza Shughuli katika ile Mitambo ya Nyuklia ya Iran Juzi usiku tayari kwa 75% Iran imeshanyong'onyezwa Kiuwezo huku Israeli (Taifa la GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE) likimaliza rasmi Kuziangamiza Ngome Kuu za Kijeshi za Iran.
Na kinachomuumiza zaidi Iran kiasi kwamba hivi sasa hata Kiongozi Mkuu wa Iran amejificha katika Handaki huku akilindwa na Makomandoo ni kwa Mataifa aliyokuwa akiyategemea ya Urusi, Korea Kaskazini na China Kumchunia kwakuwa wameshapima na kuona kuwa Wakijiingiza Kichwa Kichwa kumsaidia yatawakuta makubwa hasa Kijeshi na Kiuchumi ukizingatia kwa sasa hali ya Uchumi kwa nchi za Matajiri ni mbaya huku ya Tanzania ikiwa ni nzuri sana (hata kuwazidi Wao) kwa mujibu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
hao israel mbona wanakimbilia cyprus? famchezo nin! wanakimbia nchi yao! jana wameshushiwa kipigo mpaka bunker zao zimeanza kupasuka! israel mchumba tu bila marekani
Tu wanakimbia Taifa teule kwenda kwenye Aman uko Misri mkondo wa kuangamizwa Serikali ya Israel umeshaanza !!!Ile ndoto yenu ya kuifuta Israel kwenye uso wa dunia haijatimia, mmeibukia kuigeuza kuwa Gaza 😂
Mbona hamueleweki nyie Makobaz
Kama ndo hivyo basi mashambulizi mengi ya Israel yatakuwa yanazuiwa maana haya mashambulizi ya masaa 24 kama yote yangekuwa yana piga tagert sidhani kama Magharibi mwa Iran kungekuwa kuna kalika.Israel ana ndege 310
Ana marubani 2000
Ndege za kujaza mafuta anazo 14 ambazo anajaza mafuta Syria maana wao wamekubali anga litumike.
Akisharusha mabomu ndege inajaza mafuta kisha inarudi Israel kutua kuwekewa mabomu mapya na service
Muda huo anarudi kuna zingine ziko angani.
Ndo maana anapeleka ndege 20 hadi 30 tu si kama siku ya kwanza ndege 200
Kwa kufanya hivyo marubani wanapumzika na ndege zinafayiwa service
Iran imekanusha limerushwa kutoka yemenJUST IN: Only a Single missile forced millions of Israelis into shelters according to Israeli media sources
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
kombora moja nchi nzima wameingia kwenye shelter.... Iran washenzi sana...
Ndio mkuu kama unakumbuka Tramp alizozana na India na kutishia ataiwekea vikwazo Sababu India kugoma kuacha kununua mafuta ya Iran !!Kwa hiyo tutauziwa mafuta ya Iran kutokea india
Sababu hawajui litatua wapJUST IN: Only a Single missile forced millions of Israelis into shelters according to Israeli media sources
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
kombora moja nchi nzima wameingia kwenye shelter.... Iran washenzi sana...