pyongyang
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 783
- 1,678
Wiki hii israel itakua kama gazaIla Makobaz kwa midomo mko vzr sana 😂
Wiki hii israel itakua kama gazaIla Makobaz kwa midomo mko vzr sana 😂
Ile ndoto yenu ya kuifuta Israel kwenye uso wa dunia haijatimia, mmeibukia kuigeuza kuwa Gaza 😂
Majengo si tatizo, wanapambana kuua viongozi wakuu kwanza
Fanya utafiti kaka, acha kuniuliza maswali hayo mimi. Au hujui kutumia Chatgpt tukufundishe?Sasa inamiaka mingapi (inamuda gani).
Na umiliki wa channel inahusianje na nilichokiandika au na mada ya huku?
Muuh Isfahan tena!Muda huu mashambulizi yanafanyika Yazd na Isfahan
Ndoto bado ipo ni swala la muda kabla jogoo ajaingia bandani basi ramani ya dunia itachorwa upya. Pale ilipo Israel ni eneo la makumbusho ya baadae.vizazi vitasoma historia kuwa kuna nchi ilikuwaga duniani ila ikatoweka gaflaIle ndoto yenu ya kuifuta Israel kwenye uso wa dunia haijatimia, mmeibukia kuigeuza kuwa Gaza 😂
Mbona hamueleweki nyie Makobaz
Israel ana ndege 310Leo tupe source kwa sabb umezidi yan masaa 48 israel yy anashambuli tu mafuta anajaza saa ngap hao mapilot wanakula saa ngap zile ndege hazina hata vyoo haja wanaenda saa ngap ?
Vijana kutoka Galilaya wanatetemeka
View: https://x.com/DailyIranNews/status/1936855217703620729?t=Mk9p5wFpI1HPLcAq3l4aAw&s=19
Vipi wa-houthi wa Yemen harakati zao za kulipua meli bado unaendelea?
Naona jana wamepiga mkwara kwa US, kama ataendelea kutoa kipigo kwa Iran, wataangamiza meli zake.
View: https://www.youtube.com/watch?v=wx3jPlB0J6E
Israel ana ndege 310
Ana marubani 2000
Ndege za kujaza mafuta anazo 14 ambazo anajaza mafuta Syria maana wao wamekubali anga litumike.
Akisharusha mabomu ndege inajaza mafuta kisha inarudi Israel kutua kuwekewa mabomu mapya na service
Muda huo anarudi kuna zingine ziko angani.
Ndo maana anapeleka ndege 20 hadi 30 tu si kama siku ya kwanza ndege 200
Kwa kufanya hivyo marubani wanapumzika na ndege zinafayiwa service