SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Eti mkuu kwa mfano Israel karusha missile iende kwenye target labda ya kiwanda cha kijeshi je ina target sehemu hususa ya muhimu labda uzalishaji au lolote Tu hata majengo ya administration
Hapa jibu la moja kwa moja Sina sababu inategemea na ukubwa wa kombora lililoachiwa kulinganisha na ukubwa au uimara sa target, ndio maana Kuna muda mashambulizi hufanyika mengi eneo moja
 
Leo tupe source kwa sabb umezidi yan masaa 48 israel yy anashambuli tu mafuta anajaza saa ngap hao mapilot wanakula saa ngap zile ndege hazina hata vyoo haja wanaenda saa ngap ?
Sio masaa 48 na sio kila muda, pili ndege huwa sio moja. Ndege zinaweza kuwa 10, 15, 20 n.k
Zipo zinazokua stand by kupokea mashambulizi na zipo zinazokua zinaendelea kushambulia
 
Back
Top Bottom