SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

This man is sick😂
 

Attachments

  • 20250622_222005.jpg
    20250622_222005.jpg
    76.9 KB · Views: 21
West walimuamini Sana Netanyau kale kadingi kanaushawishi sijapata kuona kangekua kana Fanya vitu vya maana ile nchi ingefanikiwa Sana TU, lakini ukoloni unakasumbua Leo karne ya 21 kana waza karne ya kumi na 12 huko Sasa kamewazamisha Kwenye matope pamoja na dunia Kwa ujumla maana wese linaenda kupaa na hatujui ayatola anampango wa kumchata Kwa miaka mingap
 
Trump anadhani kuongoza nchi ni kama kuongoza makampuni yake ya Mieleka pale WWE au mashindano yake ya Miss Universe.

Unawatishia wafanyakazi wako kuwanyima mshahara ili wa sign contract. Iran kagoma falsafa yake ya Art of Deal
Diplomasia hajui na bado anadhani dunia ya zamani, kuwa America bado ina nguvu kama kipindi hicho! Ukipigwa biti unatulia.
 
Naona sasa hivi Kuna emergency meeting New York kuhusu Iran.
Yani taifa moja linajadiliwa "Iran".
Iran waziri wake wa mambo ya nje ameshatua Moscow. Haijulikani kaenda kufanya nini!

Meli za China zimetua Iran, haijulikani kwa dhati zimepeleka nini!

Huku rais wa North Korea anasema yupo tayari kumpatia mabomu ya nuclear Iran.

Huku strait of Hormuz inataka kufungwa!

Huku Iran kakataa ku- surrender! Na anasema kwa US alichokifanya lazima alipe kisasi!

Dunia kwa asilimia kubwa haipo upande wa Israel wala US. Mbaya zaidi asilimia kubwa ya raia wa Marekani hawataki vita sasa hivi na wanaona serikali yao inaendeshwa na Israel badala ya kudili na changamoto za Marekani.

Marekani ipo kwenye mazingira magumu sana! Mbaya zaidi wamempata kiongozi ambaye ni mjinga na hajui kusoma alama za nyakati.
 
Back
Top Bottom