SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hakuna tena cha kuzuia na Iran ikitoka hapa lazima itaunda nuke weapons.
Maana itaona kama ndio chaguzi bora kiusalama kwao.
Nahisi Iran imeona ndio muda sahihi wa kutumia msaada walioukataa mwanzo wa Urusi.
Akhy, naomba uniruhusu nilale! Nimeshiba, nimekunywa maziwa mengi sana!
 
Pumbavu Acha kudanganya watu humu , Hao mashoga zako wanabondwa muda huu na vyuma vya Muajemi , hizi ni live na si upuuzi wenu huo wa kujiandikia habari za udaku , pumbavu kukaza wewe

View: https://www.youtube.com/live/abOHXq09y8w?si=M-RG87DD_QmoaI6v
Pitia hapa uone mashoga wenzako wanavyotoa migumo huko

Screenshot_20250622-225047.png

Hizo video ni 2 days ago hata ya chini ni 9 days ago.

Wanachukua video za zamani wanaweka kama live.

Tupe new update mkuu
 
Back
Top Bottom