City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Israel muda huu inashambulia kwa makombora eneo la hakimieh azgol, Kuna milipuko mikubwa (terrible explosions)
wanasema hivo ili wapate kuaminisha jumuiya ya kimataifa labdaHilo gazeti ni mwaka 1984, ndio maana nasema kwamba hao wayahudi toka miaka mingi nyuma hizo ni habari zao, hata 2009 Israel ilisema hivyo... kila siku Iran inakaribia kumiliki silaha za nuclear...
Mbona unatapatapa,jiamin, tulia, kula vizur na usubirie mvua ya vimondo usiku wa leo kutoka
Unaandika uongo mzee.Milipuko mikubwa eneo la Robat Karim
Asante mkuu, nafatilia huu uzi sababu yakoMilipuko mikubwa eneo la Robat Karim
Onyesha basi, kurusharusha vitu duni vya kuhunzi bila malengo ndyo mshambulizi??Mashambulizi yanaendelea eneo la mashariki mwa Tehran
View: https://x.com/hehe_samir/status/1936833207107822077?t=4WMZ1TK_k8VHG6hehKpb-A&s=19
Tunaanza kuleta updates za ukweli. Achaneni na wayahudi wa Kibaoni
Pumbavu Acha kudanganya watu humu , Hao mashoga zako wanabondwa muda huu na vyuma vya Muajemi , hizi ni live na si upuuzi wenu huo wa kujiandikia habari za udaku , pumbavu kukaza weweIsrael muda huu inashambulia kwa makombora eneo la ozgol, babai highway