Marekani falsafa zake ni kama Israel. Iran ikiruhusu shambulio la Marekani lipite, Marekani atakuja kufanya tena jambo la ajabu kwa Iran.
Kitendo cha kutaka kulipua vinu vya nuclear ni kitendo hatari sana! Hakina tofauti na mtu kutaka kutumia silaha za nuclear kukishambulia.
Ili ajiweke vizuri na awe na mustakabali mzuri hapo mashariki ya kati na kwa hao majirani ambao ni vibaraka, na ili amaanishe business kama anataka kufunga strait of Hormuz inatakiwa ni lazima apige hizo kambi! Tena avishushie vyuma kweli.
Hii itajenga hofu mashariki ya kati yote hapo na America ahisi moja kwa moja kuwa hayupo safe hapo mashariki ya kati.
Sambamba na hilo ashushe vyuma kwa wakati mmoja na Israel (Ikiwa kama tunazungumzia lugha ya kijeshi).