Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,688
Pakistan miaka ya nyuma alisaidiwa na USA kupigana na India.Taarifa ndani ya Iran zinasema Pakistan iliruhusu marekani kutumia anga lake wakati wa mashambulizi ya makombora huko Iran
Pakistan siku chache nyuma ndio ilidai wako upande wa Iranš³