SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mimi Nina uhakika nimekuzidi elimu ya darasa.
Uhakiko huo ninazo.

Kwa akili yako unafikili radiation zinasambaa nchi mzima.

Heroshima Japan ilipigwa na nuclear radiation zilisambaa nchi mzima???
Tena nchi ya Japan ni dogo sana, na iran ni kubwa sana
Bwana we kuna Detector all over the world, kikivuja hata kitone watu wanajua, kuna Bodi kazi yake ni hiyo tu kudetect hio mionzi na wanakuambia hakuna, ila nyie ambao mnaangalia twitter mnahisi Nyuklia ni kama Moshi wa sigara unaweza ukajibanza ukauficha watu wasijue,

Shambulio la kwanza la Israel kushtukiza lilipotokea tu IAEA walijua na ku report leakage, ila mpaka sasa IAEA wanakwambia hakuna leakage yoyote.
 
Ningelikuwa ni mshauri wa Iran, ningewashauri wakae mezani wamalize tofauti zao maisha yasogee, hii kukimbilia Uturuki, Urusi, Uganda, China n.k kule hakuna msaada atakaopata zaidi ya kulaani tu; kwa sababu ata wao hawana uwezo wa kupambana na Marekani.​
 
3. A number of countries are ready to directly supply Iran with their own nuclear warheads - Dmitry Medvedev
Screenshot_20250622-155858.jpg

View: https://twitter.com/MedvedevRussiaE/status/1936725544017567860
 
Ningelikuwa ni mshauri wa Iran, ningewashauri wakae mezani wamalize tofauti zao maisha yasogee, hii kukimbilia Uturuki, Urusi, Uganda, China n.k kule hakuna msaada atakaopata zaidi ya kulaani tu; kwa sababu ata wao hawana uwezo wa kupambana na Marekani.​
Russia,China zina nuclear kwa nini marekani hazishambulii ?
 
Hao mossad kama walikuwa wana uwezo wa kuingia humo ndani na kwenda kuchukua uranium, kwanini wameshindwa kulipua hiko kinu kwa kutega vilipuzi kwa ndani?

Hao wangekuwa na hio access wasingehaika hata kutumia hizo B-2,sijui huu uongo wa wanaoutunga unawasaidia nini, hio sehemu ilikuwa inalindwa na askari wa Iran, hao mossad walipitia wapi?
Kama unadhani kila kitu kinalipuka kwa vilipuzi kachome muhindi kwa tochi.
 
Maneno tu hayo hamna kitu hapo
3. A number of countries are ready to directly supply Iran with their own nuclear warheads.

Hayo ni maneno ya aliyewahi kushika nafasi ya juu kabisa ya uongozi kwenye taifa kubwa duniani.

1. Rais wa Urusi 2008-2012

2. Waziri Mkuu wa Urusi 2012-2020

3. Naibu mwenyekiti wa baraza la usalama Urusi 2020- hadi sasa.

Huyo ni mtu wa karibu zaidi kwa Putin, unaweza vipi kusema maneno yake ni bure na hamna kitu?
 
Leo ni 2025 kuna nini, na kesho Waziri wa Iran atakuwa Urusi kwa mazungumzo unafikiri ata pata mchango upi?
 
Toka vita vianze tunaambiwa haya ya 'important'..lakini israel inaendelea kugeuka kifusi
Siyo kweli, Israel maisha yanaèndelea tu, ila Iran imesimama,

Hizo ni PISI KALI zilizoenda ku "siliba doda" nuclear sites za Iran :DoctorPls:
 
Umejenga hoja nzuri..
Lakini hivi vinu ilikuwa rahisi zaidi kuvilipua ukiwa kwa ndani, yaani kwa ndani hata vilipuzi vya kawaida vingeweza kufanya uharibifu mkubwa..
inawezekana ni sawa kutumia vilipuzi ingeleta uharibifu mkubwa ila suala la kutega viilipuzi hivo sehem hizo zote tofauti labda lilikua gumu zaidi kulingana na muda ambao wenyewe walikua wanaona umebaki mana kwa maelezo yao wanasema irani ilikua ni kama imefika asilimia 90 kupata nuklia, kumbuka hata zile drone walizokua wanaingiza kwa siri walikua wanaingiza vipande vipande kwa siri suala ambalo lilichukua zaidi ya mwaka, then vikifika iran ndo wanafanya assembly.
 
Huo uchambuzi mmeenda mbali sana, tuwaachie wenyewe wenye Shuguli ndyo wanajua
 
Back
Top Bottom