SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

View attachment 3378635


The Qatari television network Al Jazeera claims that starting on June 19, unusual activity was observed at the Fordow nuclear site, during which dozens of trucks and vehicles were seen operating at the site.

According to the network, the activity continued for two days, and it is likely that the trucks removed critical equipment from the site.

To support their claims, they published aerial images obtained from Maxar (a company that provides on-demand satellite imagery for a fee).
Kama walichukua, there is no way watarudisha tena hapo au sehemu nyingine, the Iran nuke project ime :crayonTime:
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-21-15-05-55-778.jpg
    Screenshot_2025-06-21-15-05-55-778.jpg
    256.4 KB · Views: 17
  • Screenshot_2025-06-22-09-58-00-456.jpg
    Screenshot_2025-06-22-09-58-00-456.jpg
    280.2 KB · Views: 19
inawezekana ni sawa kutumia vilipuzi ingeleta uharibifu mkubwa ila suala la kutega viilipuzi hivo sehem hizo zote tofauti labda lilikua gumu zaidi kulingana na muda ambao wenyewe walikua wanaona umebaki mana kwa maelezo yao wanasema irani ilikua ni kama imefika asilimia 90 kupata nuklia, kumbuka hata zile drone walizokua wanaingiza kwa siri walikua wanaingiza vipande vipande kwa siri suala ambalo lilichukua zaidi ya mwaka, then vikifika iran ndo wanafanya assembly.
Israel ilishasema mwaka 1984 kwamba Iran ipo karibu kutengeneza nuclear weapon..
Ayatollah ndiye alikataa kutengeneza WMDs, lakini Iran ingetaka kuwa na nuclear bomb ingekuwa nayo, ni vile tu yule mzee alisema katika dini hairuhusu kuwa na silaha ya maangamizi kama nuclear...

Lakini Iran kwa miaka yote hio wakifanya urutubishaji wa uranium wangekuwa na bomb la nuclear, hata wao wanakiri na ilishatokea baadhi ya washauri wa Ayatollah kumshauri wa develop nuclear bomb mzee Ayatollah akakataa...
 
Picha za satellite za kinu cha fordo baada ya shambulizi la Marekani
 

Attachments

  • FB_IMG_1750598783245.jpg
    FB_IMG_1750598783245.jpg
    100.7 KB · Views: 11
  • FB_IMG_1750598775481.jpg
    FB_IMG_1750598775481.jpg
    28.2 KB · Views: 14
  • FB_IMG_1750598768712.jpg
    FB_IMG_1750598768712.jpg
    28.2 KB · Views: 20
Back
Top Bottom