MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Unamuanije muhindi na MpakistaniTaarifa ndani ya Iran zinasema Pakistan iliruhusu marekani kutumia anga lake wakati wa mashambulizi ya makombora huko Iran
Pakistan siku chache nyuma ndio ilidai wako upande wa Iran😳
Do you trust Muslims creaturesTaarifa ndani ya Iran zinasema Pakistan iliruhusu marekani kutumia anga lake wakati wa mashambulizi ya makombora huko Iran
Pakistan siku chache nyuma ndio ilidai wako upande wa Iran😳
Halafu kuna kima watakwambia baada ya mashambulizi ya Marekani kwa Iran ndiyo basi tena Iran amekwisha hana uwezo wa kurusha hata karisasi kamoja😂.
Hiki kipigo yule mtangazaji wa mpira hana airtime nacho?
Ndiyo maana, Iran ilikataa msaada kutoka kwa wale waliotaka kusaidia, hapo awali iliposhambuliwa na Israel. Ilitaka kujua ni nani hasa ni wasaliti. Patiency pays!Pakistan siku chache nyuma ndio ilidai wako upande wa Iran😳
Mrembo mambo vipi ?Nataka Ayatollah auliwe
Iran has nothing to gain zaidi ya kuumia... Kama Israel pekee imeibadili Iran Kuwa Syria unadhani itaweza kudeal na USA?Ila wamarekani ni vituko 😀
US Secretary of State Rubio:
The US is prepared to talk to Iran.
Unashangaa niniTaarifa ndani ya Iran zinasema Pakistan iliruhusu marekani kutumia anga lake wakati wa mashambulizi ya makombora huko Iran
Pakistan siku chache nyuma ndio ilidai wako upande wa Iran😳
Nikupe kisu ukamuueNataka Ayatollah auliwe
Kwa hiyo jana usiku alie shambulia vinu vya nyuklia kule Iran na kaondoka patupu ni Israel sio USA?Iran has nothing to gain zaidi ya kuumia... Kama Israel pekee imeibadili Iran Kuwa Syria unadhani itaweza kudeal na USA?