City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Israel muda huu inashambulia mashariki mwa Tehran, mlipuko ni mkubwa
Hakujifunza kwa IraqMshauri wa Ayatollah:
Tutamshughulikia Director wa IAEA baada ya vita maana kumbe alikuwa ni Israel Spy akijifanya kukagua mitambo yetu ya Nyuklia kumbe alikuwa pia anauza taarifa za muhimu KWA adui
Syria ? Utoto na ujinga ni mwingi humuIran has nothing to gain zaidi ya kuumia... Kama Israel pekee imeibadili Iran Kuwa Syria unadhani itaweza kudeal na USA?
Nimeshangaa sababu juzi walisema wapo pamoja na Iran, na wapo tayari kuungana na IranUnashangaa nini
Hao ndio waliuza ramani osama alipo siwezi washangaa
Vip mkuu na Al jazeera wamekuwa kama yule mwamba wenu anaetangaza mpira wa Israel !!!!!Al Jazeera news zote wako opposite na Israel, ni pro Iran typical
Makende yao
Eti eeh
dyo military targets hizo, bado mnakazi sana.Kumbe jamaa kamnafikia mwenzake?Taarifa ndani ya Iran zinasema Pakistan iliruhusu marekani kutumia anga lake wakati wa mashambulizi ya makombora huko Iran
Pakistan siku chache nyuma ndio ilidai wako upande wa Iran😳
Ndio, Marekani US ilitumia Pakistan kufanya mashambulizi kwa IranKumbe jamaa kamnafikia mwenzake?
Dooh aiseee!
India anaexport refined oil, hali ikiwa mbaya itabidi atulize mshono, akiba ya mafuta aliyokuwa nayo atumie mwenyewe.Lakini mafuta si yanatoka sehemu tofauti ikiwemo India
Usitudanganye mzeeh.Iran has nothing to gain zaidi ya kuumia... Kama Israel pekee imeibadili Iran Kuwa Syria unadhani itaweza kudeal na USA?
Asilimia 20 ya mafuta kwenye mkondo huuu, ila sisi tushukuru tuna gesi ndo muda muafaka wa kuhamia kwenye matumizi ya gesi kwenye vyombo vyetu vya usafiri.Lakini mafuta si yanatoka sehemu tofauti ikiwemo India
Pakistan haina akili kabisa.Ndio, Marekani US ilitumia Pakistan kufanya mashambulizi kwa Iran