SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran ikikipiga kinu cha Dimona ujue kuanzia Gaza na Palestine yote ikiwemo west bank hadi Lebanon watapata madhara makubwa sana, watu watakufa kuliko hata Israel ilivyoua Gaza... na ubaya wa hio mionzi inakaa kwenye DNA hivyo inaharibu na vizazi , hayo maeneo watu watakuwa kama si binadamu, wanawake watajifungua viumbe vya ajabu...

Raia wengi sana, watoto na wasio na hatia watakufa kwa mateso...

Sasa tujiulize, wanadai Iran ni magaidi, kwamba wakiwa na nuclear wanaweza kuwalenga Israel, je kwanini Iran hadi sasa imesita kulenga Dimona? na badala yake Israel na US ndio wanalenga vinu vya Iran, hii haihitaji akili nyingi kujua kwamba...

Iran imeomyesha kiwango cha hali ya juu sana cha strategic restraint, nikisema strategic restraint namaanisha nchi yenye nguvu ya kijeshi lakini huamua kutumia uvumilivu wa hali ya juu kwa misingi ya mkakati, ni tabia ya kutotumia nguvu mara moja hata kama kuna uwezo, ili kuepusha madhara makubwa au kwa maslahi mapana ya kisiasa au kimataifa.

Hivyo naweza kusema kwamba kama kungekuwa na score au point flan za kupima kati ya nchi A na B ipi waruhusiwe kuwa na nuclear bomb na wapi wasimiliki nuclear bomb, basi Iran ina score za juu zaidi kuliko US na Israel katika kumiliki nuclear bomb.

US inalenga vinu vya Iran lakini Iran haijalenga vinu vya Israel kwa kuhofia madhara yatokanayo na mionzi itakayovuja, tukumbuke vinu vya Israel havina uimara wa kuzuia mashambulizi kama vya Iran, hivyo ikipiwa hypersonic mbili au tatu itakuwa hatari.

Tukumbuke pia aliyekataa kumiliki nuclear bombs ni Ayatollah mwenyewe, hii ni busara ya hali ya juu, maana wangetaka kuwa na nuclear wangekuwa nayo zamani sana... miaka mingi wanafanya majaribio chini ya maabara zao chini ya ardhi.

Israel inawatafuta wanasayansi na kuwalenga na kuwaua, hali ya kuwa hawa watu walikuwa hawana hatia yeyote.

Kama Iran ikitaka kuidhuru kabisa Israel inalenga Dimona tu, ni sawa na kupigwa bomb la nuclear.

Israen na US ni mashetani, hivyo vinu Iran isingefanya haraka kuondoa materials ya nulear raia wa Iran wangekufa kama dagaa. Kwa sababu kuleng vinu vitatu ni kupelekea mionzi kwa kiasi kikubwa sana kuvuja.

Iran hata kuja kufanya mashambulizi yamakombora kwa Israel, ni baada ya uchokozi wa Israel wa muda mrefu sana.

Iran iendelee kuitandika Israel hadi Tel Aviv yote ifanane na Gaza... Israel ipigwe, gaidi Netanyahu auwawe kikatili...
 
Ni ushenzi TU hivi wanadhani Iran hawezi kutagert kinu Cha nyuklia Cha Dimona nchini Israel? Na anaweza kuifumua yote kabisa lakini anajua madhara yake ni makubwa kuliko nchi nzima na ni eneo dogo. Marekani ni taifa kubwa lakini kubwa jinga kabisa wanaendeshwaje na bwana mdogo Netanyau!? Yaan amekua ndio mtoto pendwa wa US zaidi ya wakazi million 300
Nashukuru dunia inazidi kutoka usingizini, hata wamarekani hivi sasa walikuwa na campaign yao ya siwezi kufa kwa ajili ya Israel...

Wameshaona nchi zao ndio magaidi...
 
Iran ikikipiga kinu cha Dimona ujue kuanzia Gaza na Palestine yote ikiwemo west bank hadi Lebanon watapata madhara makubwa sana, watu watakufa kuliko hata Israel ilivyoua Gaza... na ubaya wa hio mionzi inakaa kwenye DNA hivyo inaharibu na vizazi , hayo maeneo watu watakuwa kama si binadamu, wanawake watajifungua viumbe vya ajabu...

Raia wengi sana, watoto na wasio na hatia watakufa kwa mateso...

Sasa tujiulize, wanadai Iran ni magaidi, kwamba wakiwa na nuclear wanaweza kuwalenga Israel, je kwanini Iran hadi sasa imesita kulenga Dimona? na badala yake Israel na US ndio wanalenga vinu vya Iran, hii haihitaji akili nyingi kujua kwamba...

Iran imeomyesha kiwango cha hali ya juu sana cha strategic restraint, nikisema strategic restraint namaanisha nchi yenye nguvu ya kijeshi lakini huamua kutumia uvumilivu wa hali ya juu kwa misingi ya mkakati, ni tabia ya kutotumia nguvu mara moja hata kama kuna uwezo, ili kuepusha madhara makubwa au kwa maslahi mapana ya kisiasa au kimataifa.

Hivyo naweza kusema kwamba kama kungekuwa na score au point flan za kupima kati ya nchi A na B ipi waruhusiwe kuwa na nuclear bomb na wapi wasimiliki nuclear bomb, basi Iran ina score za juu zaidi kuliko US na Israel katika kumiliki nuclear bomb.

US inalenga vinu vya Iran lakini Iran haijalenga vinu vya Israel kwa kuhofia madhara yatokanayo na mionzi itakayovuja, tukumbuke vinu vya Israel havina uimara wa kuzuia mashambulizi kama vya Iran, hivyo ikipiwa hypersonic mbili au tatu itakuwa hatari.

Tukumbuke pia aliyekataa kumiliki nuclear bombs ni Ayatollah mwenyewe, hii ni busara ya hali ya juu, maana wangetaka kuwa na nuclear wangekuwa nayo zamani sana... miaka mingi wanafanya majaribio chini ya maabara zao chini ya ardhi.

Israel inawatafuta wanasayansi na kuwalenga na kuwaua, hali ya kuwa hawa watu walikuwa hawana hatia yeyote.

Kama Iran ikitaka kuidhuru kabisa Israel inalenga Dimona tu, ni sawa na kupigwa bomb la nuclear.

Israen na US ni mashetani, hivyo vinu Iran isingefanya haraka kuondoa materials ya nulear raia wa Iran wangekufa kama dagaa. Kwa sababu kuleng vinu vitatu ni kupelekea mionzi kwa kiasi kikubwa sana kuvuja.

Iran hata kuja kufanya mashambulizi yamakombora kwa Israel, ni baada ya uchokozi wa Israel wa muda mrefu sana.

Iran iendelee kuitandika Israel hadi Tel Aviv yote ifanane na Gaza... Israel ipigwe, gaidi Netanyahu auwawe kikatili...
ma refarii wanapongezana kwa ushindi mechi karibu inakwisha hiyo, usijipe fake hope

View: https://www.tiktok.com/@tndtok/video/7518612995052784910?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Wanaomba amani kwa kuhofia Israel kupigwa zaidi, kumbuka US haipo tayari kuingia vitani, Ukraine imeshakula pesa nyingi huku bado wana vita ya kiuchumi na China , pembeni Israel inataka pesa kuendelea kupambana na Iran, hapo utaelewa kwamba US ipo mwisho...

Trump ameingia madarakani kwa kuahidi kumaliza vita na kujenga uchumi....

Uchumi na vita wapi na wapi?

Ukweli ni kwamba US na Israel wameshindwa kufikia malengo yao... na sasa ni kama wanaogopa kuendelea na vita.
 
FB_IMG_1750591673943.jpg
 
Back
Top Bottom