Nilimuona yupo kimya sana ila ameniheshimisha asubuhi hii aisee.Kwa nini ?
Kongole kwake.
Nilimuona yupo kimya sana ila ameniheshimisha asubuhi hii aisee.Kwa nini ?
Acha kuongopa wewe.Kwanini imekuwa rahisi kuona picha au video za mashambulizi au uhalibifu unaotokea upande wa Israel kutokana na mashambulizi ya Iran lakini ni nadra kuona picha au video za mashambulizi ya Israel yanayoelekezwa Iran au uharibifu unaotokea Iran kutokana na mashambulizi ya Israel
kiongozi, Iran vinu vyao vipo chini ya milima, halafu bado juu ya hivyo vinu wameweka concrete uwezo wa kuzuia shambulizi la kombora kama bunker buster..
Kabla kombora halijakutana na concrete lazima li penetrate kwenye mlima wenye miamba migumu, lipite kwenye concrete halafu liende ndani zaidi likifika lilipuke kwa ndani... bunker buster ni delay fuse..
Kinachopelekea bunker buster kupenya kwenye ardhi kwenda ndani zaidi ni vitu vifuatavyo...
1-Hard casing(uimara wa material, hutumia tungsten, au steel alloy,) material magumu sana kuzuia lisivunjike.
2-Uzito wa bomu.(Bunker buster zina uzito mkubwa sana ili kufanya liingie ndani zaidi ya ardhi)
3-umbo la bomu(bunker buster imechongoka mbele ili ku penetrate kwenye ardhi ngumu.)
4-Kasi ya kushuka, hii inaongeza uwezo wa kupenya kwa kina zaidi ardhini...
Kumbuka bunker buster ni gravity bombs, hutegemea mvutano wa dunia, yaani linaachiwa kama jiwe au free falling body, japo machache sasa wanatumia rocket na gps...
Hapo kwenye uzito ndipo mada yangu na hoja ilikuwa, je F-16 /F-15 n.k zina uwezo wa kubeba bunker buster kutoka Israel hadi Iran? kumbuka bunker buster kama GBU-28 uzito wake ni tani 2, hili la kisasa wanaita GBU-57 ni tani 13.6 ndilo wanasifu linaweza kupenya ndani zaidi ya ardhi laini kwa mita 60, na kwenye zege hupenya mita 8-20 kutegeme na ugumu wa zege... sasa tafakari mlima ambao una zaidi ya kilomita 3 au 4 na kuendelea halafu kuna zege la kufa mtu chini yake..
F16 yenyewe uzito wake ni tani 8 na pointi je inaweza kubeba tani 13 hadi Iran?
GBU-57 inabebwa na B-2
Halafu hio milima yenye vinu vya nuclear imezungukwa na air defenses, bunker buster inavyopigwa lazima B-2 iende usawa wa huo mlima halafu iachie hilo bomu lianze kushuka hadi kwenye target..
Hapo air defense zita dela na hio B-2...
Israel haina B-2 spirit kumbuka...
Bunker buster ya kulipua vinu vya Iran inapaswa kuwa na uzito zaidi ya tani 13 (GBU-57)... na hapo bado Iran wana vinu vya nuclear kwenye milima tofauti na sehemu tofauti...
Ndio maana nasema hapa kwa hoja Israel haina huo uwezo, nipingwe kwa hoja...
Hata Israel ipewe ruhusa iingie Iran kushambulia hivyo vinu kwa shambulizi moja, hawana ndege za kubeba hilo bomu, hata wakiazimishwa B-2 na US bado hilo bomu halitofika level ya hivyo vinu ....
Na hata ikifika level ya hiko kinu bado Iran wana vinu sehemu tofauti...
Ni impossible 100%...
Nadhani material yote ya nuclear yaliondoka na zile ndege za china... Ni nadharia tu, ila nahisi walishayatoa nje ya IranLazima kuwe na hatari ya radiation.
Ila Iran imesema wamethibisha hakuna radiation zozote na raia wanaruhusiwa kuendelea kuwepo hilo eneo.
Russia nae ni mchumba tuu 🚮🚮
View: https://www.instagram.com/p/DLIEs11xted/?igsh=MTZwcWdvaDU1MHR1Zg==
Yah, Israel inaepuka hii vita, lakini kabla hajakimbia kijanja, Iran ihakikishe uchumiwa Israel unakwenda chini kabisa..Vinu viko salama na wanasema hakuna madhara ya ndani katika Natanz,Fordow na Isfahan nuclear plants.
Na Abbas Araghchi amesema anasitisha mipango yote ya amani kwaajili ya ulipaji kisasi juu ya wao kushambuliwa.
Inaonekana Iran hataki kusarenda.
Naona wanaanza kujikanyaga wanasema eti mpango sio kufanya regime change 😂😂😂😂😂.Yah, Israel inaepuka hii vita, lakini kabla hajakimbia kijanja, Iran ihakikishe uchumiwa Israel unakwenda chini kabisa..
Unaongea kimahaba badala ya fact.Hata wakati wa vita vya majimaji mkuu, wapo wakoloni waliuawa na kushambuliwa na akina Kinjekitile Ngwale.
Pale Iringa kuna kaburi la Nyundo. Yule Kamanda wa Kijerumani aliyeuliwa na Mkwawa akiwa na kikosi chake cha askari 300. Hii ni kawaida wewe Muajemi wa Tanangozi. 😂😂😂🤣
Ni kweli ilitarajiwa USA ndo wanaweza kufanya shambulizi linaloweza kuharibu Nuclear Facilities lakini hadi muda huu wamefeli pia na ndo ilikua karata ya mwisho ya kuharibu mpango wa nuclear wa Iran, hadi muda huu lengo la kuanzisha vita hii limefeli na karata ya mwisho imegonga mwamba kinachoendelea kwa sasa ni Israel kupata hasara na military bases za USA zilizo karibu na Iran ziko kwenye hatari ya kushambuliwaHili suala la B-2 kupiga kinu cha nuclear cha Iran kuna watu niliwaambia hapa, GBU-57 bado haiwezi kuharibu hivyo vinu... na analysis niliyoweka hapa jf ndicho kitu kimetokea, wamepiga pa kuingilia lakini mitambo ya ndani yote ipo salama...
Niliandika hivi.. kwenye hii post hapa 👇
Na kweli Israel haina kombora kufumua hivyo vinu hadi US imeingilia kati na kutumia GBU-57, na bado hawajafanikiwa kuharibu hivyo vinu...
Israel na US hakuna walilofanikiwa, hakuna cha regime change wala kuzuia Iran kuwa na nuclear, vyote hivyo wamefeli na ni aibu..
Kwa aibu Trump anaomba amani vita iishe, Trump ni kituko, amefahamu fika hawatoweza kuharibu mpango wa nuclear wa Iran. Pia wamefahamu kuwa hawana uwezo wa kuharibu hivyo vinu pasipo kushuka ardhini...
Nionacho US ameamua walau aonekane ameishambulia Iran, walau aonekane hajarudi nyuma na hajaiogopa Iran, mara tu baada ya Trump kushambulia vinu, Trump anaomba amani.
Ukweli ni kwamba hii ni namna ya kuiokoa Israel, US na Israel wamepiga mahesabu ya kujumlisha,kutoa , kugawanya na kuzidisha wameona hii vita ni hasara kubwa, Israel imeona haiwezi kuhimili, Trump pia ameona hana support ya wananchi na wabunge...
Wananchi wengi wa Israel maelfu wanakimbia nchi, makombora yanashuka kwa hali ya kutisha, licha ya kambi za US zilizopo kuanzia Iraq, Jordan na meli zilizopo baharini zinazozuia na mitambo ya ulinzi wa anga ya israel bado imefeli kuzuia...
Nionacho Iran ishambulie zaidi kwa makombora mazito zaidi Israel kabla hawajafikia makubaliano, Israel inajitahidi kuepuka hii vita kwa sababu wanaona wanashindwa na nchi inazidi kuharibiwa, wananchi wanazidi kukimbia nchi...
Iran ihakikishe Israel inalipa kwa ilicho kianzisha... Iran iwatandike vilivyo.
Kiongozi wa Iran kashanusa harufu ya hatari, na inasemekana kashaanza kupoint warithi wake. Kinachowasumbua Iran ni mamluki, na wakikubali tu kufanya mageuzi ya kiutawala basi ndio mwisho wa Iran katika umaridadi wa utengenezaji wa Silaha, na hapo ndio itakuwa anguko lao kiuchumi.Oyaa hii vita bado mbichi kuna kiongozi mkubwa anakufa soon
Ivi izo bunker buster haziwezi kupigwa nyingi kiasi kwamba ziwe zinafukua na kutetemeaha mpaka kufika huko chini kabisa, na kuingia ndani mno.Hili suala la B-2 kupiga kinu cha nuclear cha Iran kuna watu niliwaambia hapa, GBU-57 bado haiwezi kuharibu hivyo vinu... na analysis niliyoweka hapa jf ndicho kitu kimetokea, wamepiga pa kuingilia lakini mitambo ya ndani yote ipo salama...
Niliandika hivi.. kwenye hii post hapa 👇
Na kweli Israel haina kombora kufumua hivyo vinu hadi US imeingilia kati na kutumia GBU-57, na bado hawajafanikiwa kuharibu hivyo vinu...
Israel na US hakuna walilofanikiwa, hakuna cha regime change wala kuzuia Iran kuwa na nuclear, vyote hivyo wamefeli na ni aibu..
Kwa aibu Trump anaomba amani vita iishe, Trump ni kituko, amefahamu fika hawatoweza kuharibu mpango wa nuclear wa Iran. Pia wamefahamu kuwa hawana uwezo wa kuharibu hivyo vinu pasipo kushuka ardhini...
Nionacho US ameamua walau aonekane ameishambulia Iran, walau aonekane hajarudi nyuma na hajaiogopa Iran, mara tu baada ya Trump kushambulia vinu, Trump anaomba amani.
Ukweli ni kwamba hii ni namna ya kuiokoa Israel, US na Israel wamepiga mahesabu ya kujumlisha,kutoa , kugawanya na kuzidisha wameona hii vita ni hasara kubwa, Israel imeona haiwezi kuhimili, Trump pia ameona hana support ya wananchi na wabunge...
Wananchi wengi wa Israel maelfu wanakimbia nchi, makombora yanashuka kwa hali ya kutisha, licha ya kambi za US zilizopo kuanzia Iraq, Jordan na meli zilizopo baharini zinazozuia na mitambo ya ulinzi wa anga ya israel bado imefeli kuzuia...
Nionacho Iran ishambulie zaidi kwa makombora mazito zaidi Israel kabla hawajafikia makubaliano, Israel inajitahidi kuepuka hii vita kwa sababu wanaona wanashindwa na nchi inazidi kuharibiwa, wananchi wanazidi kukimbia nchi...
Iran ihakikishe Israel inalipa kwa ilicho kianzisha... Iran iwatandike vilivyo.
We mbona naye mbishi sana, Iran huwa anaonyesha matukio mangapi yanayoendelea kwake, jana kutwa nzima kaliwa kiboga si alikuwa kimya aliripoti chochote, mbona mnapenda muonea Israel taifa teuleAcha kuongopa wewe.
Mie nipo natizama Al Jazeera hapa Iran kuliposhambuliwa kote wameonesha ground images na satellite images.
Wale wadada wamepumzika kwa kazi nzito ya jana ila si muda wanarudi mzigoni, shambulio moja tu kelele nyingi lenyewe mnarusha ilimradi tu mabomu yaanguke Tel AvivUnaongea kimahaba badala ya fact.
Hao raia na mayor wa miji inayoshambuliwa hapo Israel wanakiri kuwa hawakuwahi kukumbana na mashambulizi kama haya, shambulio la Oktoba 7 lilikua dogo sana ukilinganisha na hili.
USA imefikia hatua hadi ya kuingilia kati,wewe unataka kusema nini wewe mmakonde wa Nanjilinji!?
Bunker buster kama hio GBU 57 ina uzito takribani tani 14, je B-2 spirit inaweza kubeba hizo bunker buster ngapi? B-2 inabeba tani 20, hivyo haina uwezo wa kubeba hayo makombora mawili, unless ziwepo B-2 nyingi.. kitu ambacho ni risk..Ivi izo bunker buster haziwezi kupigwa nyingi kiasi kwamba ziwe zinafukua na kutetemeaha mpaka kufika huko chini kabisa, na kuingia ndani mno.
Hizi kondoo za humu zitakwambia Ai
Haiwezekani kwanza Moja linagharimu fedha nyingiIvi izo bunker buster haziwezi kupigwa nyingi kiasi kwamba ziwe zinafukua na kutetemeaha mpaka kufika huko chini kabisa, na kuingia ndani mno.
Yule mtangazqji wa mpira anayetangaza vita si kasema yamezuiwa