SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Israel sounds alarm over Iranian missile attack:
The Israeli military has said it has identified missiles launched from Iran.

It urged citizens who receive an emergency alert to take shelter
Wawache Vita atutaki Vita.
 
Sema kobaz ww huna deni vp umesalenda au tuendelee kula mtori
Screenshot_20250619_213605.jpg
 
Kuna jamaa Mmoja hapa kasema Israel inaenda Iran kuchukua nchi, nimecheka sana😂 nikifikiria hayo makundi yanavyo mhenyesha Israel Iran ndiyo ataweza?
7, October, 2023. Hamas aliingia akawakamata watu wake akaondoka nao, na mpaka Leo baado anawashikiria mateka, Tulidanganywa na Netanyahu ndani ya siku 7 atawasambaratisha, mpaka Leo Miaka miwili Hamas baado wapo wanadunda tu, Israel ameishia kuwaua watoto, wazee na kuangusha maghorofa basi. Lakini Hamas ni kama ameshindwa.

Ndiyo tufanye ulingañifu kama Gaza kasehemu kadogo tu kijiografia ameshindwa! Je ndiyo ataweza Iran ambayo kijiografia ni nchi kubwa na wako vizuri kijeshi, siyo kama hao Hamas wa kuunga unga.

Au tuendelee kusikia propaganda!!
Kwamba Israel wanaenda kuokota nchi sio?😄
 
BREAKING: Iranian TV:The three nuclear facilities in Natanz, Fordow, and Isfahan have been evacuated.
Hivi kwanini wanatangaza na vita inaendelea na wanajua majasusi wengi wa Israel wamo nchini mwao. ni habari za kufurahisha lakini pia zinatia mashaka
 
Back
Top Bottom