SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hizo sites mbona Israel amekuwa akizishambulia kila siku tena na U s keshambulia hizo hizo tena?
 
Screenshot_20250622-073706.png
 
Mimi hapa sielewi kinachoendelea jamani,mbona tulikuwa tunaambiwa Israel keshashambuliwa hizo sites na us tena kasema kashambulia hizo hizo au inakuwaje
Yes alishambulia zote ila kwa kiasi chake kutokana na ujenzi wake, kama icho cha fordow alishambulia mifumo ya ulinzi pekee ili ndege za USA zifanye kazi kwa uzuri
 
😂😂 Kati ya hao uliowataja Hezbullah ndio wameniangusha kwa kweli maana sifa walizokuwa wanapewa humu na majenerali wa JF hasa kambi ya makobazi zilikuwa zinatisha na kuogofya kwa jinsi walivyokuwa wanatuambia maana walisema jamaa wana vifaru vinapaa angani na drone na makombora yenye kasi ya mwanga wanaomba myaudi ajichanganye tu kama 2016 watu wamalize kazi 😂😂
Unakaa kumuamini kobaz washakaa kwenye draft na kahawa zao wanaambiana lolote

Zayuni hawezi kurusha hata tunda ya ubuyu pale Tehran
 
Iran inabidi ajipange upyaa maana kosa alishalifanya mwanzo kabisa
 
Israel sounds alarm over Iranian missile attack:
The Israeli military has said it has identified missiles launched from Iran.

It urged citizens who receive an emergency alert to take shelter
 
Iran wadhaifu sana kwa namna Israel alivyoitembezea bomba hata kama wanasema ni kwa msaada wa USA ila bado Israel kaonyesha ana akili kuliko iran, na iran wakifanya mashambulizi ya kisasi wanaweza umia zaidi sababu wanayafanya kwa hasira na yanafanywa na viongozi wapya maana wakali wa hizo kazi za vilipuzi plus mchuzi mix wa missiles na drones washatangulizwa kufaidi bikira za vitoto vya afu mbili ahera

#RIP mtoto Aisha ulibakwa
 
Back
Top Bottom