MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Ngoja tulale
Kilio kimeanzaThe Atomic Energy Organization of Iran announced that the attack on the nuclear sites constitutes a violation of international law, and made it clear that "we will not allow the development of this 'national industry' to be stopped."
Mkuu unaonekana ni binadam bora sana mwenye utuWatu wanawaza uhasama tu
Sasa kama inasaidiwa na marekani Iran si impige mmarekani inachoogopa ni Nini 🤣🤣🤣🤣🤣Mbona unajitia upofu kwa ushabiki?
Iran inashambuliwa na Israel kwa msaada wa nani?
Au unajisahaulisha kuwa Israel kisilaha na intelijensia inasaidiwa na USA?
Hiyo inajulisha tosha kuwa Iran Ina nguvu kuliko Israel ndio maana inachangiwa.
Tunasubiri majibu ya Iran.
Hao proxies usisahau USA na France ndio ilihusika kuwa neutralize kwa mazungumzo na mapigano.
Uwezo wa Iran umevurugwa kigaid sio kijesh !!Ilikuwaje mkaamini uwezo wa Iran?😂😂 Aliwapa nini, hamjajifunza kwa watu wake wa Karibu, a.k.a Proxies
Kazi imeisha unataka aendelee kufanya nnIsrael anatafuta namna ya kujitoa... tulisema humu Israel haina uwezo kupambana na Iran mkatuona wajinga..
😂Sasa kama inasaidiwa na marekani Iran si impige mmarekani inachoogopa ni Nini 🤣🤣🤣🤣🤣
😂Uwezo wa Iran umevurugwa kigaid sio kijesh !!
Mossod waliojanaza ndani ya Iran wametumia Ugaid kuaribu Air Defence System za Iran kwa kutumia drone ndogo ndogo zenye milipuko !!!
kupiga izo Air Defence System !!
ndipo kutokea apo Anga la Iran wakaweza kulimiliki kama sio uwo Ugaid Wasingeweza kuingiza ndege zao za Kivita kama aya ma B-52 yasingeweza kabisa kukatiza Anga la Iran !!!
ISRAEL mbinu zake yeye ni UGAID lkn uyouyo ndio anawaita wenzie magaid !!
lkn Vita bado sana ngoja tuone Iran bado wapo Imara sana.. kosa kubwa kwao kutokulinda mifumo yao ya ulinzi kwanjia zote zinazofikirika ,,
Hii ndio maana ya superpowerTrump muda huu ameandika endapo Ifan italipiza kisasi kwa marekani basi watakutana na nguvu kubwa kuliko hii iliyoshuhudiwa lea
View attachment 3378390
Na kweli inauma Sana hahahahaha hasa ukiwa timu pinzani pole shekhJamaa anatangaza mpira uyu muda huu anakwenda kushambulia muda huu anakwenda muda huu anakwenda!!!!!!
Bado kusainiNasikia mtu kasalenda 😀😀😀😀😀😀
Watashambulia kwa makombora 400 usiku mkali ilikuwa ya kweli?Usiamini kila unachosikia,tumeshuhudia uongo mwingi kutoka pande zote, kafiri na kobaziIran habari zao si za uongo kama Israel, kama mionzi ikiwepo itatangazwa..