Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
😄Kinyonge sana shehe wangu.
😄Kinyonge sana shehe wangu.
Is it true?I guess the Iranians decided not to surrender
Mkuu acha kubishana na jamaa yeye analeta updates tu zisizo na upande. Bishana na sisi mkuu ila jamaa usimguse.Unaona sasa kaka mafikirio yako!?
Shambulizi la anga unafananisha na ground invasion!?
Au kufeli kwa interception ndio sawa na kufeli kwa infantry?
Labda nikuulize na wewe mkuu,vita ya Iran-Iraq war Iran ilishambuliwa kwa ndege vile vile,kipi kiliwafanya wanajeshi wa Iraq kushindwa kupenya kwa miguu kuingia Iran kwa infantry??
Tuliache tu hili kaka wewe lete updates tuone yanayojiri.
Au ndio yale matetemeko yaliyo rekodiwaShirika la habari la Iran limethibitisha hizonnuclear sites kupigwa leo
Mkuu Kama ndege imeshindkana kuzizuia wangewezaje kuzuia watu kadhaa waliokua wanafanya operation kwenye ground kwa muda kadhaa? Hao watu si walikua protected na ndege za juuUnaona sasa kaka mafikirio yako!?
Shambulizi la anga unafananisha na ground invasion!?
Au kufeli kwa interception ndio sawa na kufeli kwa infantry?
Labda nikuulize na wewe mkuu,vita ya Iran-Iraq war Iran ilishambuliwa kwa ndege vile vile,kipi kiliwafanya wanajeshi wa Iraq kushindwa kupenya kwa miguu kuingia Iran kwa infantry??
Tuliache tu hili kaka wewe lete updates tuone yanayojiri.
HapanaAu ndio yale matetemeko yaliyo rekodiwa
Nyoka keshapigwa kichwani mkuu. Kwisha habari yake hata akirespond sasa ni mkia tu unachezacheza.Is it true?
Let us wait for their response.
Jamaa wenu tu analeta Habari kama anatangaza Simba na Yanga !!Huko Tehran hapakaliki, Mzayuni kakasirika haswaa
Haikuwa uwongo, Sasa unadhani hiyo uranium huko kwenye nuclear facilities iliondokewa na drones?Ground attack ilikua taarifa ya uwongo, media za israel zilizoipandisha ziliishusha
Jamaa anatangaza mpira uyu muda huu anakwenda kushambulia muda huu anakwenda muda huu anakwenda!!!!!!Naangalia hapa naona Israel inshambuliwa ila huku naona iran tokea asubuh anashambiliwa tu
Umefurahii sasa baada ya mungu rasmi wa Israel kuingilia Vita !!Huyo ni debe tu mwacheni abwabwaje akichoka atalala!!!
Wanaokoteza.Masaa zaidi 24 yamepita bila Makombora Kosugi