100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
kuna sehemu nyingine wamepiga na bombs 30 ambazo sio hizo gbu-57...Taarifa inasema ni 6
kuna sehemu nyingine wamepiga na bombs 30 ambazo sio hizo gbu-57...Taarifa inasema ni 6
Mkuu taarifa inasema kabla ya kupigwa bomu, Kuna makomandoo wa israel waliingia na kudisable baadhi ya vitu ili bomu likipigwa kusiwe na hizo radiationSawa naona habari zina circulate kuwa hakuna radiation leaking ya vinu kutoka Fordow.
Ila huu ukimya wa Iran unanishangaza sana.
Ni Isfahankuna sehemu nyingine wamepiga na bombs 30 ambazo sio hizo gbu-57...
uongo huu.. chumvi imezidi hapo..Mkuu taarifa inasema kabla ya kupigwa bomu, Kuna makomandoo wa israel waliingia na kudisable baadhi ya vitu ili bomu likipigwa kusiwe na hizo radiation
Hizi ni propaganda za wazi mkuu tusidanganyane.Mkuu nilipokua nachukua updates muda ule Kuna taarifa ilisema makomandoo walivamia na kuondoa hatari kabla ya kulipuliwa ili kutoleta madhara
Nimesoma sasa hivi baada ya hii taarifa kutangazwa imethibitika ni kweli zoezi Hilo lilifanyika kabla ya kulipuliwa
Sizitaki mbichi hizo!! Visingizio hamuishiwi!!!! Iran imepoteza makamanda 30+ Wanasayansi 60+ vinu vimekuwa vikishambuliwa!!! Ndege-vita za Israel zinaingia na kutoka!! Kituo cha wanamaji huko Bandar ABBAs mpaka asubuhi hii kinateketea!!!! Endeleeni kufanya Taqiyyah tu lakini Iran cha moto ataendelea kukipata mpaka Israel imalize Operation zake ndani ya Iran!!!Israel anatafuta namna ya kujitoa... tulisema humu Israel haina uwezo kupambana na Iran mkatuona wajinga..
Ina maana 2 kwa kila kinu sio?Taarifa inasema ni 6
Tatizo lenu kubwa ni hili neno propaganda. Unasema wstue tu kizembe zembe. Mkuu labda nikuulize wanawezaje kufanya assassination ndani ya nchi kwa public figures alafu washindwe kutua hapo? Ndege zimezunguka siku nzima wameahindwa kufanya lolote ndio washindwe kutua hapo?Hizi ni propaganda za wazi mkuu tusidanganyane.
Vinu vya nuclear sio magunia ya mpunga kaka.
Pia hao makomandoo watue tu kirahisi hapo Fordow kizembezembe tu.
Itakua japo sina uhakikaIna maana 2 kwa kila kinu sio?
Here we go😄Toka itoke Marekani hio ndege hata kama imepandishwa kwenye basi ingekua ishafika Iran by now.
Shida yenu nyinyi ni Israel kumpiga Iran!!! Sasa kapigwa visingizio vya kusaidiwa kwani Iran yeye anasaidiwa na nani?Mbona unajitia upofu kwa ushabiki?
Iran inashambuliwa na Israel kwa msaada wa nani?
Au unajisahaulisha kuwa Israel kisilaha na intelijensia inasaidiwa na USA?
Hiyo inajulisha tosha kuwa Iran Ina nguvu kuliko Israel ndio maana inachangiwa.
Tunasubiri majibu ya Iran.
Hao proxies usisahau USA na France ndio ilihusika kuwa neutralize kwa mazungumzo na mapigano.
Kuna mkuu hapo juu anasema wamepiga sehemu ya kuingilia na kutokea tu kwenye kinu cha fordow ni kweli?Itakua japo sina uhakika
Hii lazima itakuwa AljazeeraBREAKING: Iran state media says ‘ONLY’ entrance and exit tunnels of Fordow nuclear site were damaged after American bombing.
Mkuu think out of box.Tatizo lenu kubwa ni hili neno propaganda. Unasema wstue tu kizembe zembe. Mkuu labda nikuulize wanawezaje kufanya assassination ndani ya nchi kwa public figures alafu washindwe kutua hapo? Ndege zimezunguka siku nzima wameahindwa kufanya lolote ndio washindwe kutua hapo?
Mkuu kwa nn mnakuaga wagumu kuukubali ukweli?
Unasemaje?Nimepata tena muda wa kuhoji.
Wakuu B-2 zimefika wapi ? Updates please
Hao watu ni wagumu wa kuukubali ukweli. Pengine wameamua kuwa irrational, hatuwezi kuwakatazaKuna mkuu hapo juu anasema wamepiga sehemu ya kuingilia na kutokea tu kwenye kinu cha fordow ni kweli?
Dah bongo waongo wengi sanaMkuu taarifa inasema kabla ya kupigwa bomu, Kuna makomandoo wa israel waliingia na kudisable baadhi ya vitu ili bomu likipigwa kusiwe na hizo radiation
Hata mimi nashangaa ina maana jamaa walikuja kubahatisha pale? Na vipi kuhusu vingine 8'vinavyosemekana vipo ila havijapigwa na vipi kuhusu radiations baada ya kupigwa?Hao watu ni wagumu wa kuukubali ukweli. Pengine wameamua kuwa irrational, hatuwezi kuwakataza
Ukweli ni kwamba Fordow imeharibiwa yote
Mkuu mm ambacho nimeelewa nyie wenye ushabiki wa hii vita ni kuwa mmeamua kuwa irrational, ni Kama pia mmekula kiapo cha kutokukubali ukweli wa upande mwingineMkuu think out of box.
Kufanya assassination attempt ni rahisi kwasababu wanatumia majasusi wao na target ya assassination ni rahisi kulingana na idadi.
Leo analengwa mkuu wa jeshi au mwanasayansi ni rahisi kumlenga kuliko kusema MAKOMANDOO wametua Fordow na kufanya ulichosema tena ni mambo ya nuke bro ilhali hapo panalindwa na jeshi la Iran pia.
Embu usiwe kipofu namna hiyo mzee .