SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mkuu mm ambacho nimeelewa nyie wenye ushabiki wa hii vita ni kuwa mmeamua kuwa irrational, ni Kama pia mmekula kiapo cha kutokukubali ukweli wa upande mwingine
Kaka acha ku play victim na hayo maneno sijui kuwa irrational sijui nini.
Tuiache hii mada ila sisi sio watoto.
Usitake kufanya kuwa kila unachosema wewe ndio sahihi embu acha hizo mambo.

Case closed.
 
20250622_051153.jpg


Trump: Iran's nuclear facilities have been completely destroyed. The Middle East bully must make peace now
 
BREAKING: Trump booed by Americans after illegal attack on Iran Speech by Senator Bernie Sanders saw Donald Trump booed in unison after the it was announced US bombing of IranThe crowd chanted: "No more wars."

hii ni aibu...
View attachment 3378371ni
Mkuu Iran imeshasalimu amri au kuna jambo itafanya?
Maana huu ukimya wake unanishangaza sana.
 
Kwa hiyo unawafanya wayahudi walioenda huko hawajui hizo sites wewe tu ndiyo unazijua. Bro Israel iko Iran si kucheza wako kazini!!!
Jamaa wabishi, waongo, wajuaji sijapata kuona wanaruka ruka tu awajui wapi watapata tumaini maana lran waliye mtegemea ndio hivyo ana hali mbaya
 
VIta ni mbaya ndugu zangu. Watu wanakufa, amani inapotea, mali zina haribika, ndugu wanatawanyika na kupoteana, njaa, wakimbizi wa kivita,uharibufu wa mazingira,visasi, watoto wanaathirika kisaikolojia n.k.
Ee Mwenyezimungu mtukufu na mkuu wa amani ulimwenguni nakuomba kwa upendo wako uingilie kati na kurejesha amani duniani kuto. Amin.
 
Mkuu Iran imeshasalimu amri au kuna jambo itafanya?
Maana huu ukimya wake unanishangaza sana.
Na iran akijaribu kuishambulia Marekani basi utawala wa Ayatollah utaangushwa haraka sana.
 
Kaka acha ku play victim na hayo maneno sijui kuwa irrational sijui nini.
Tuiache hii mada ila sisi sio watoto.
Usitake kufanya kuwa kila unachosema wewe ndio sahihi embu acha hizo mambo.

Case closed.
Mkuu labda ngoja nikuulize Isfahan imeshambuliwa mara nyingi leo, Natanz imeshambuliwa mara nyingi, jeshi lilikuwa wapi kuzuia hayo mashambulizi ya ndege?
 
Mkuu labda ngoja nikuulize Isfahan imeshambuliwa mara nyingi leo, Natanz imeshambuliwa mara nyingi, jeshi lilikuwa wapi kuzuia hayo mashambulizi ya ndege?
Achana nae mkuu huyo kakurupuka usingizini haku wepo humu wakati wa updates hana analojua tuachie sisi we endelea kuchimba madini utupe updates nimekuelewa sana karibu kila update iliyoleta ni mule mule
 
Mkuu labda ngoja nikuulize Isfahan imeshambuliwa mara nyingi leo, Natanz imeshambuliwa mara nyingi, jeshi lilikuwa wapi kuzuia hayo mashambulizi ya ndege?
Unaona sasa kaka mafikirio yako!?
Shambulizi la anga unafananisha na ground invasion!?
Au kufeli kwa interception ndio sawa na kufeli kwa infantry?
Labda nikuulize na wewe mkuu,vita ya Iran-Iraq war Iran ilishambuliwa kwa ndege vile vile,kipi kiliwafanya wanajeshi wa Iraq kushindwa kupenya kwa miguu kuingia Iran kwa infantry??

Tuliache tu hili kaka wewe lete updates tuone yanayojiri.
 
Back
Top Bottom