SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mkuu nilipokua nachukua updates muda ule Kuna taarifa ilisema makomandoo walivamia na kuondoa hatari kabla ya kulipuliwa ili kutoleta madhara

Nimesoma sasa hivi baada ya hii taarifa kutangazwa imethibitika ni kweli zoezi Hilo lilifanyika kabla ya kulipuliwa
Mkuu tuletee update achana nao hao
 
Kelele zote za Pro Iran (kobaz) zimehitimishwa na ndege ya kijanja ya B-2 .. wenzenu wanawekeza kwenye tech nyie mnawekeza kubong'oa misikitini !
 

Attachments

  • 1750569541735.jpg
    1750569541735.jpg
    131.1 KB · Views: 20
Kaka acha ku play victim na hayo maneno sijui kuwa irrational sijui nini.
Tuiache hii mada ila sisi sio watoto.
Usitake kufanya kuwa kila unachosema wewe ndio sahihi embu acha hizo mambo.

Case closed.
Mkuu kama ishu unaona SI kweli achana nayo tuu.
Vipo vingi vinatumwa humu
Jf.
Haina haja ya kulalamika kaka.
Haya ndo madhara ya kuwa pro
 
Iran haina silaha za nuclear na ndio mana US kaingia kupiga leo. Ila kama Iran ingekuwa na hayo mabomu ya nuclear basi wasingeipiga. Mbona Urusi wanaishia kuitisha kwenye media na kuisapoti Ukraine kwa kupitia mlango wa nyuma. Hata Iran ingekuwa na nuclear US wasingepiga.
Iran sasa inatakiwa imiliki silaha za nuclear kwa usalama wake. North Korea amekuwa na nuclear dunia nzima imemgwaya.
Ee Mwenyezi Mungu wape nguvu Iran kwani ni Wewe Mungu usiyependa dhuluma na uonevu.
 
Back
Top Bottom