SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran haina silaha za nuclear na ndio mana US kaingia kupiga leo. Ila kama Iran ingekuwa na hayo mabomu ya nuclear basi wasingeipiga. Mbona Urusi wanaishia kuitisha kwenye media na kuisapoti Ukraine kwa kupitia mlango wa nyuma. Hata Iran ingekuwa na nuclear US wasingepiga.
Iran sasa inatakiwa imiliki silaha za nuclear kwa usalama wake. North Korea amekuwa na nuclear dunia nzima imemgwaya.
Ee Mwenyezi Mungu wape nguvu Iran kwani ni Wewe Mungu usiyependa dhuluma na uonevu.

Kuisambaratisha middle east hyo ni mission nyuma ya pazia , waarabu wote wanatakiwa wawe vibaraka wa wazungu , anayesumbua hapo ni iran , Urusi hana jipya lolote la kufanya watu wenye akili timamu wahangaike naye the same to north korea mzungu aende kule kufanya nini
 
Iran haina silaha za nuclear na ndio mana US kaingia kupiga leo. Ila kama Iran ingekuwa na hayo mabomu ya nuclear basi wasingeipiga. Mbona Urusi wanaishia kuitisha kwenye media na kuisapoti Ukraine kwa kupitia mlango wa nyuma. Hata Iran ingekuwa na nuclear US wasingepiga.
Iran sasa inatakiwa imiliki silaha za nuclear kwa usalama wake. North Korea amekuwa na nuclear dunia nzima imemgwaya.
Ee Mwenyezi Mungu wape nguvu Iran kwani ni Wewe Mungu usiyependa dhuluma na uonevu.
Vinu viko salama na wanasema hakuna madhara ya ndani katika Natanz,Fordow na Isfahan nuclear plants.
Na Abbas Araghchi amesema anasitisha mipango yote ya amani kwaajili ya ulipaji kisasi juu ya wao kushambuliwa.
Inaonekana Iran hataki kusarenda.
 
Shambulio la USA kwenye Nuclear Facilities ya Fordow imeleta madhara juu na kuharibu milango mitatu ya kuingilia ila underground facilities iko salama haijapata madhara yoyote.

Shambulio la marekani la June 22, 2025 huko Fordow limeripotiwa na vyanzo mbalimbali ila madhara iliyoleta bado hayajathibitishwa, Iran wameweka wazi kuwa underground facilities iko intact haijapata madhara yoyote.

View: https://x.com/IranObserver0/status/1936628153621029041?t=goi8BLFgfC7NhZ7mIz9Ltg&s=19
 
Iran haina silaha za nuclear na ndio mana US kaingia kupiga leo. Ila kama Iran ingekuwa na hayo mabomu ya nuclear basi wasingeipiga. Mbona Urusi wanaishia kuitisha kwenye media na kuisapoti Ukraine kwa kupitia mlango wa nyuma. Hata Iran ingekuwa na nuclear US wasingepiga.
Iran sasa inatakiwa imiliki silaha za nuclear kwa usalama wake. North Korea amekuwa na nuclear dunia nzima imemgwaya.
Ee Mwenyezi Mungu wape nguvu Iran kwani ni Wewe Mungu usiyependa dhuluma na uonevu.
allah kalala mbele anawaogopa makafiri na mazayuni. Kwanini kila siku waja wake wanachapika alafu allah hajitokezi kuwatetea?😁
 
Iran haina silaha za nuclear na ndio mana US kaingia kupiga leo. Ila kama Iran ingekuwa na hayo mabomu ya nuclear basi wasingeipiga. Mbona Urusi wanaishia kuitisha kwenye media na kuisapoti Ukraine kwa kupitia mlango wa nyuma. Hata Iran ingekuwa na nuclear US wasingepiga.
Iran sasa inatakiwa imiliki silaha za nuclear kwa usalama wake. North Korea amekuwa na nuclear dunia nzima imemgwaya.
Ee Mwenyezi Mungu wape nguvu Iran kwani ni Wewe Mungu usiyependa dhuluma na uonevu.
😂
Amechelewa
 
Iran aachane na mpango wa kulipiza kwa USA kwa sasa ila achague kibaraka mmoja wa USA ampe kisago Cha maana liwe fundisho kwa wengine baada ya hapo atulie kujipanga upya
Amchague bi.tozo au pale Msoga. Sisi tutawaunga mkono Iran. Inatakiwa amchakaze kweli. 😁😁😁😁
 
Iran haitaki kusarenda.

IMG_20250622_090002_368.jpg
IMG_20250622_090004_247.jpg
IMG_20250622_090015_255.jpg
 
Wanasema yalikua intercepted mbona wanakiri miji kadhaa imepigwa?
View attachment 3378485
Hata wakati wa vita vya majimaji mkuu, wapo wakoloni waliuawa na kushambuliwa na akina Kinjekitile Ngwale.

Pale Iringa kuna kaburi la Nyundo. Yule Kamanda wa Kijerumani aliyeuliwa na Mkwawa akiwa na kikosi chake cha askari 300. Hii ni kawaida wewe Muajemi wa Tanangozi. 😂😂😂🤣
 
Kwanini imekuwa rahisi kuona picha au video za mashambulizi au uhalibifu unaotokea upande wa Israel kutokana na mashambulizi ya Iran lakini ni nadra kuona picha au video za mashambulizi ya Israel yanayoelekezwa Iran au uharibifu unaotokea Iran kutokana na mashambulizi ya Israel
 
Watalaam mtuambie, hivi nuclear facility ikipigwa, hakuwezi kuwa na hatari ya leakage ya mionzi?
Nuclear Facilities zilizofikia 80% kama ilivyoripotiwa kwa Iran zikishambuliwa lazima italeta mripuko mkubwa wa Uranium na kusambaza mionzi, vumbi lenye mionzi ni lazima itasambaa kwa umbali mrefu kuleta madhara kwa binadam na mimea.

Lakini hadi muda huu watu wanaoishi mji wa Qom uliopo karibu na Kituo cha nuclear cha Fordow wako salama hamna madhara yoyote yaliyotokea na hadi asubuhi mji ulikua tulivu watu wamelala ndani, imeripotiwa kuwa shambulio la USA limeleta madhara juu tu ila underground facilities ni salama ziko intact
 
Back
Top Bottom