100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Kwa hali hii Israel haia uwezo kuvumilia hizi damage kwa mud mrefu... hii ni leo..
Kuwepo mbili au tatu ivi zikatupa bombs Ni risk kivipi yaani ?.Bunker buster kama hio GBU 57 ina uzito takribani tani 14, je B-2 spirit inaweza kubeba hizo bunker buster ngapi? B-2 inabeba tani 20, hivyo haina uwezo wa kubeba hayo makombora mawili, unless ziwepo B-2 nyingi.. kitu ambacho ni risk..
Nimejiuliza hili swali piaKwanini imekuwa rahisi kuona picha au video za mashambulizi au uhalibifu unaotokea upande wa Israel kutokana na mashambulizi ya Iran lakini ni nadra kuona picha au video za mashambulizi ya Israel yanayoelekezwa Iran au uharibifu unaotokea Iran kutokana na mashambulizi ya Israel
Uwezo wake hauzidi mita 20Ivi izo bunker buster haziwezi kupigwa nyingi kiasi kwamba ziwe zinafukua na kutetemeaha mpaka kufika huko chini kabisa, na kuingia ndani mno.
Si rahisi, kwa nadharia utaoa rahisi, kiuhalisia ni ngumu sana, kumbuka hizo B-2 zinatembea umbali mrefu, hivyo kwenda kupakia silaha na kurudi ni safari ya bara moja kwenda lingine, not easy..Kuwepo mbili au tatu ivi zikatupa bombs Ni risk kivipi yaani ?.
Pia mfano option ya kwenda na kurudia buster ingine haiwezekani ?
Ndiyo hivyo sema tu kuwa pro Iran inahitaji moyo mgumu sana unaona kabisa taifa limekaa kijinga ndege zinaingia na kutoka kama kwake, huyu tukiweza kudhibiti hizo missiles zake na drones anasalimu amri mchana kweupeIran ni takataka inapigwa kuanzia asubuhi hadi usiku iran kwenye ulinzi wa anga inazidiwa na tanganyika.
Kwa nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani unadhani mafuta ni tatizo kwaoSi rahisi, kwa nadharia utaoa rahisi, kiuhalisia ni ngumu sana, kumbuka hizo B-2 zinatembea umbali mrefu, hivyo kwenda kupakia silaha na kurudi ni safari ya bara moja kwenda lingine, not easy..
Bado kuna ambao wao chini ya zege..Natizama Al Jazeera hapa naona Israel inajikanganya.
Mwanzo inasema shambulio la Iran majeruhi 11,wakapanda hadi 16 sasa wamepanda hadi 23.
Hapa nahisi hadi vifo VIPO .
Tel aviv ashatepeta sasa anae shambulia ni USAWale wadada wamepumzika kwa kazi nzito ya jana ila si muda wanarudi mzigoni, shambulio moja tu kelele nyingi lenyewe mnarusha ilimradi tu mabomu yaanguke Tel Aviv
Acha utani zinaenda deep mita 61, asa mita 20 si hata mabomu ya Israel yangeshafanya shambuliziUwezo wake hauzidi mita 20
Mbona mnajichanganya si mmesema mlihamisha mzigo!? Sasa iweje uulizie mionzi wakati mnasema mzigo mlishautoa!?Lazima kuwe na hatari ya radiation.
Ila Iran imesema wamethibisha hakuna radiation zozote na raia wanaruhusiwa kuendelea kuwepo hilo eneo.
Katepeta kwa lipi umeua wakuu wake wa majeshi, leta uthibitisho tofauti na hizo bunker baster kwamba USA ndio anapambanaTel aviv ashatepeta sasa anae shambulia ni USA
Israel ni rahisi sana kupata taarifa hawafichi kitu
Yale si maandazi kuwa wanahamisha.Mbona mnajichanganya si mmesema mlihamisha mzigo!? Sasa iweje uulizie mionzi wakati mnasema mzigo mlishautoa!?
Mnapigika alafu mdogo kama Sadam Hussein kipindi hicho alikuwa anaongea utadhani mtu kumbe ***** tu.