SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Katepeta kwa lipi umeua wakuu wake wa majeshi, leta uthibitisho tofauti na hizo bunker baster kwamba USA ndio anapambana
mkuu wa majeshi ni binadam na kufia vitani sio ajabu kwakuwa nafasi yake inaweza kuwa replaced na vita ikaendelea ila kwa upande wa Israel kachapika mpaka USA na bratain ikabidi asaidie na ile propaganda ya Israel ni taifa teule sijui ni majiniaz itakuwa imeisha maana kachapika mpaka kashindwa kujibu mashambulizi
 
Ni kweli ilitarajiwa USA ndo wanaweza kufanya shambulizi linaloweza kuharibu Nuclear Facilities lakini hadi muda huu wamefeli pia na ndo ilikua karata ya mwisho ya kuharibu mpango wa nuclear wa Iran, hadi muda huu lengo la kuanzisha vita hii limefeli na karata ya mwisho imegonga mwamba kinachoendelea kwa sasa ni Israel kupata hasara na military bases za USA zilizo karibu na Iran ziko kwenye hatari ya kushambuliwa
Kweli kabisa, Trump anabweka kwamba wanajiandaa na shambulizi kubwa endapo Iran ikilipiza kisasi..
 
Balaa la usiku wa Leo halielezeki watu waondoke tuu walishaonywa Tel Aviv hawata kaa tena

🇮🇷⚡️ Israeli media: An Iranian missile fell on a shelter south of Tel Aviv.

Dozens of people are trapped inside the shelter under the rubble

@NEWWORLDORDYR
 
Mbona mnajichanganya si mmesema mlihamisha mzigo!? Sasa iweje uulizie mionzi wakati mnasema mzigo mlishautoa!?

Mnapigika alafu mdogo kama Sadam Hussein kipindi hicho alikuwa anaongea utadhani mtu kumbe ***** tu.
KOcho israel hasimamish.... mpaka bwana wake mmerekani hamshike kalio
 
Habari za asubuhi Tel Aviv, mmeamkaje huko?
GuBjavsW8AAkxrP

Jamaa akitolewa kwenye rubble..


 
mkuu wa mwanajeshi ni binadam na kufia vitani sio ajabu kwakuwa nafasi yake inaweza kuwa replaced na vita ikaendelea ila kwa upande wa Israel kachapika mpaka USA na bratain ikabidi asaidie na ile propaganda ya Israel ni taifa teule sijui ni majiniaz itakuwa imeisha maana kachapika mpaka kashindwa kujibu mashambulizi
Acha utani kijana hivi unajua nafasi ya mtu, we unahisi hadi sasa Iran kukosa mwelekeo kwenye vita si kutokana na wazoefu wake kuuawa, hezboallah baada ya viongozi wake kupigwa si washapotena,
We mwenyewe nchi yako baada ya kuondoka Magufuli na kuingia mama imepoteza mwelekeo, watu ni mhimu hapa tukimgusa uchebe na washauri wake kazi kwisha, we unaweza kaba nafasi ya tundu lisu
 
Tatizo sio mafuta, tatizo ni usalama na aibu itakayotokea endapo hio B-2 ikipigwa..
Kama ndege zinazolushwa na wadada zimekushinda, jana penyewe B-2 zimeingia na kutoka ukiwa huna taarifa uchebe alikuwa anakuna makende tu, Si tunasubiri umshamblie USA maana ulimuahidi
 
Kama ndege zinazolushwa na wadada zimekushinda, jana penyewe B-2 zimeingia na kutoka ukiwa huna taarifa uchebe alikuwa anakuna makende tu, Si tunasubiri umshamblie USA maana ulimuahidi
Wamefanikiwa kipi? hakuna walichofanikiwa hata kimoja..
Kumbuka hizo ndege za hao wadada hawana walichofanikiwa pia..
 
Back
Top Bottom