goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,880
- 5,763
Iran si awamu hii.Kabisa mkuu ata kwenye Mpira ukifanya kosa ndio mwenzio anakuadhibu.
Ajipange tena kama miaka miwil.
Ameshajua madhaifu yake.
Na nguvu ya adui.
Kuna mataifa yalisalim amri kwa Hitler,,, ili yaweze kujipanga upya,ama kusubiri msaada waarafiki