mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Hawamuwezi kwenye nini yaaniAngekuwa nao ingejulikana tu. Mkubali Israel na Marekeani hawamuwezi Iran.
Hawamuwezi kwenye nini yaaniAngekuwa nao ingejulikana tu. Mkubali Israel na Marekeani hawamuwezi Iran.
Inawezekana na ndio huwa wanafanya hivyo, ila tukio la jana hakuna mtu alieona hilo, na wa kazi wa Qom wanaendelea na shughuli zao kama kawaida, taarifa za Iran Bomu limepiga juu halijapiga jengo ambalo lipo chini, so ni Kiki tu za Trump.Ivi izo bunker buster haziwezi kupigwa nyingi kiasi kwamba ziwe zinafukua na kutetemeaha mpaka kufika huko chini kabisa, na kuingia ndani mno.
Na lengo la kuzitoa ni ili contamination isitokee, cha muhimu ilikuwa facility, bila hiyo hawataweza fanya ktu labda waombe Pakstan au North Korea au China au Russia waje weka Mabomu ya NukeSasa kama Al-Jazeera wanajua unadhani Mossad hawatayapata
Kuna hata satelite image ku prove hili?Fordow kashushiwa mabomu 12 yenye uzito wa 14T za TNT kamwe haiwezi baki salama.
Kama Hypersonic Missile ya 750kg inaharibu majengo mengi pale Tel Aviv ndo hizi bunker buster zishindwe?
Kumbe Isfahan wamelipua eneo walilokuwa wanatunzia Enriched Uranium, hakuna jinsi Iran ataweza fufua nukes zake
Mzee Ayatollah sisi tunaomba iwe basi Washakoma na wenyewe wameomba pooo kupitia Maandamano !!!
waone uruma wengine wanakimbia kwa miguu kwenda utumwani Misri kichwani wamebeba Shangaz kaja.. Mzee Ayatollah wasemee awajui walitendalo!!!
safari hii teknoloji ni tofauti na enzi za WW2, bunker buster bombs zimepenya deep na kuharibu hizo site tatuMoja ya kazi ya ujasusi ni Kupima capacity ya adui, wanaojenga bunkers kwa ajili ya shelters za watu, ammunitions, na vitu kama hizo nuclear facilities nk.
Capacity za bunker busters zinajulikana, nitawaona Iran wapumbavu kamakupitia ujasusi wa Russia na wakwao wenyewe watashindwa kujua wanatakiwa kujenga bunkers za size gani..
WW2 coalition forces walishindwa kulipua bunkers za manazi pale France, zile bunkers ndio zilikuwa parking za U-boats za manazi wa ujerumani, mpaka leo pale zile bunkers zimebaki makumbusho.
Hapana madhara yangeonekana ,una kumbuka janga la kuvuja mionzi nchini japan na maafa yake?Fordow kashushiwa mabomu 12 yenye uzito wa 14T za TNT kamwe haiwezi baki salama.
Kama Hypersonic Missile ya 750kg inaharibu majengo mengi pale Tel Aviv ndo hizi bunker buster zishindwe?
Kumbe Isfahan wamelipua eneo walilokuwa wanatunzia Enriched Uranium, hakuna jinsi Iran ataweza fufua nukes zake
🤣Hapana madhara yangeonekana ,una kumbuka janga la kuvuja mionzi nchini japan na maafa yake?
Ayatollah yuko concern na hawa watu ameshindwa kuwalinda, yeye amejichimbia shimoni kama alivyojificha Sadam HuseinMzee Ayatollah sisi tunaomba iwe basi Washakoma na wenyewe wameomba pooo kupitia Maandamano !!!
waone uruma wengine wanakimbia kwa miguu kwenda utumwani Misri kichwani wamebeba Shangaz kaja.. Mzee Ayatollah wasemee awajui walitendalo!!!
sasa hawamuwezi kivipi israel wiki ya pili hii yuko anga ya iran na iran ameshindwa kumtoa yeye si alikua anajisifu kwamba ana mifumo imara ya ulinzi? sasa hapo ambae hamuwezi mwenzake ni naniAngekuwa nao ingejulikana tu. Mkubali Israel na Marekeani hawamuwezi Iran.
Wakaazi wa Teheranطهران, "wana sema thank u Israel, freedom is comming now" i.e الحرية قادمة الآن and chanting "death to the Ayatollah" is "الموت للخوميني", halafu wamatumbi wa bongo wanampambania Ayatollah aliyejichimbia handakiniHuyu mtoto kichanga amekatika mguu kwa sababu ya makombora ya Israel...
Kuna video nyingi watu hawajaona, kinachoendelea Gaza ni zaidi ya unyama, ndio maana nchi za EU zinapiga kelele na ICC kutoa warranty ya kumkamata Netanyahu...
Hii ni sehemu ndogo tu ya unyama inaofanya Israel huko Gaza..
Iran isiache kuitandika Israel..
View attachment 3378688