umeambiwa vinu viko chini kwenye milima mita sitini fikiria kwanza kabla hujaongeaNuclear siyo sufuria la makande kwamba ikiripuliwa itajificha kwa propaganda lazima Uranium ingeleta shida na kungekua na vumbi la mionzi hayo maeneo yote
umeambiwa vinu viko chini kwenye milima mita sitini fikiria kwanza kabla hujaongeaNuclear siyo sufuria la makande kwamba ikiripuliwa itajificha kwa propaganda lazima Uranium ingeleta shida na kungekua na vumbi la mionzi hayo maeneo yote
Sina utaalamu na hayo mambo... Ni mawazo yangu tu... Na unaweza hamisha sampuli na sio lazima uhamishe na mitamboMITAMBO YA NUCLEAR FACILITY KUMBE NI PORTABLE NA ZINAKUWA DISMANTLED KWA MUDA MFUPI NA KUHAMISHWA KWENDA NCHI NYINGENE![]()
Waambie hao, Iran ni mwamba sana yaani kawaumbua vibaya mno hayo mashoga.Nuclear siyo sufuria la makande kwamba ikiripuliwa itajificha kwa propaganda lazima Uranium ingeleta shida na kungekua na vumbi la mionzi hayo maeneo yote
Vita zote huwa ni collabo, hii siyo boxing match, Je Iran hana mashoga wa kumsaidia au wame mute??Na wew unajuaje kama kuna madhara? Israel ni mweupe tu ndo maana kaenda kulia lia kwa shoga mwenzie wasaidiane.
umeambiwa vinu viko chini kwenye milima mita sitini fikir
Angekuwa nao ingejulikana tu. Mkubali Israel na Marekeani hawamuwezi Iran.Vita zote huwa ni collabo, hii siyo boxing match, Je Iran hana mashoga wa kumsaidia au wame mute??
Kwahiyo mita 60 ikiwepo chini ndo haileti madhara? Hivi unaifahamu nuclear kweli?umeambiwa vinu viko chini kwenye milima mita sitini fikiria kwanza kabla hujaongea
hamwezi kivipi? Jeshi la Iran ni ni kubwaaa ila ni analogy lkn Jeshi la Isarael ni dogooo ila ni high TechAngekuwa nao ingejulikana tu. Mkubali Israel na Marekeani hawamuwezi Iran.
Israel – Mossad. One of the most feared intelligence agencies, Mossad is responsible for intelligence gathering, counterterrorism, and covert operations worldwide. It has been linked to high-profile operations such as the assassination of terrorists, cyber warfare, and intelligence on Iran's nuclear program
Naskia holaa chief B-2 zimekuwa kama p-2 zile za kizuia mimba Kwenye mbususuWakuu samahani nilikuwa nimelala vipi B-2 zimefanya yake ?
Tena zinashambulia mchana kutwa na ulitaarifiwa sio kwamba umestukizwa ila akachagua kwenda shimoniYani ndege za adui zinatoka mbali zinaingia nchini nwako zinashambulia na kuondoka bila madhara yoyote kwa ndege hizo!
Haya sasa mpango Issrael na USA wa kuharibu Nuclear Facilities za Iran umefeli sasa Iran anaendelea kuigeuza Israel kuwa Gaza missile 1 tu majengo yamechakaa kama yamepigwa miaka 10 mfululizo
View: https://www.instagram.com/reel/DLMdqQxvQjO/?igsh=M2x5aDUwdDBsbzZt
FACTS hazikaririshwi, ila imani ya dini ndyo huwa watu wanakaririshwa ili waaminiHuku ndio kukaririshwa kwenyewe mangichogo kaongelea
Kama mpaka sasa mionzi haijavuja basi kuna mawili, moja wenda ni kweli Iran ilisha hamisha Uranium yote kwenye vinu vyote vilivyo shambuliwa au wenda mabomu yaliyo tumika yameshindwa kikifikia kina cha mitambo ilipo.Yale si maandazi kuwa wanahamisha.
Ukiona hadi hizo ndege ziko anga la Iran basi hakuna Air Defence hata moja maana yake Israel alifanya homework vizuri sana.
Wasingeweza hamisha chohote
Fordow kashushiwa mabomu 12 yenye uzito wa 14T za TNT kamwe haiwezi baki salama.Kama kama USA wamedanya kuhusu Vinu vya nyukria Haina faida yoyote, ya kusema uhongo kwamba vimeharibiwa.
Uwezekano wa kutokuharibiwa ni mdogo mno.
Ndo maana nasema kwenye haya mambo ukiwa pro iran , habari ya uhongo ya iran utaamini tuu.
Na chochote watakachofanya Israel au USA uwezi amini hata kidogo.
Vile vile hata kwa pro Israel na USA.
Ni hivyo hivyo tuuu.
Unabaki kuumia tuu mda wote
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁