SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wanasema hawajabiga ila Kuna watu hapa wametuletea habari kuwa iran wamesema USA imeanzisha vita rasmi.
Kama mambo ni swali ni ya Nini yote hayo maneno
Sheria ya kimataifa hairuhusu kumvamia mtu ila zinaruhusu kujilinda ukivamiwa, kwa jicho la sheria Iran sasa hivi anaweza target chochote cha Usa kwa muktadha wa kujilinda.
 
Hivi Israel na US waliwaza nini kwenda kushambulia vinu vya nuclear vya Iran? hivi hawelewi kwamba endapo mionzi ya hiyo vinu ingevuja ingeua watu kiasi gani katika hayo maeneo?
Jamaa ni mashetani kabisa, unapiga kinu chenye uranium hapo ni kupelekea mionzi isambae mji mzima..

Na madhara ya mionzi ya nuclear ni makubwa sana.. ina maana hawa jamaa walitaka wananchi wa Iran wafe kwa mionzi ya nuclear?

Iran nimeelewa kwanini hawataki kulenga vinu vya Irsael, mfano Dar kukiwa kuna kinu, kikivuja mionzi kwa asilimia kubwa, mionzi inaweza kusafiri hadi Morogoro na zaidi..
 
Acha kukariri bosi
 
Iran atakuwa mjinga kama aliamua kuingia vitani kwa kutegemea nyuma yake yuko Russia na China.
Russia na China sio watu wakutegemea kukupa full support kwenye ugomvi na west.
So far sijamuelewa Urusi, japo Nafsi yangu inaniambia ame husika sana na ku maneuver hizo Nyuklia,

Ila China simdai, yeye ndio wa kwanza kumsaidia Iran na zile Cargo, na Pia amempa Iran Access ya Beidou, mpaka unaona vitu vinatoka km 2000 vinapiga exactly jengo lililokusudiwa huyo ni mchina. Msaada huu ni mkubwa kushinda angeleta Mamilioni ya missile na ndege
 
Sheria ya kimataifa hairuhusu kumvamia mtu ila zinaruhusu kujilinda ukivamiwa, kwa jicho la sheria Iran sasa hivi anaweza target chochote cha Usa kwa muktadha wa kujilinda.
kwa sasa hana uwezo huo, mbona ma B-2 yamemtembelea nyumbani kwake na kufanya uharibifu, na wakatoka bila scratch
 
Hivi Israel na US waliwaza nini kwenda kushambulia vinu vya nuclear vya Iran? hivi hawelewi kwamba endapo mionzi ya hiyo vinu ingevuja ingeua watu kiasi gani katika hayo maeneo?
Jamaa ni mashetani kabisa, unapiga kinu chenye uranium hapo ni kupelekea mionzi isambae mji mzima..

Na madhara ya mionzi ya nuclear ni makubwa sana.. ina maana hawa jamaa walitaka wananchi wa Iran wafe kwa mionzi ya nuclear?

Iran nimeelewa kwanini hawataki kulenga vinu vya Irsael, mfano Dar kukiwa kuna kinu, kikivuja mionzi kwa asilimia kubwa, mionzi inaweza kusafiri hadi Morogoro na zaidi..
Ni ushenzi TU hivi wanadhani Iran hawezi kutagert kinu Cha nyuklia Cha Dimona nchini Israel? Na anaweza kuifumua yote kabisa lakini anajua madhara yake ni makubwa kuliko nchi nzima na ni eneo dogo. Marekani ni taifa kubwa lakini kubwa jinga kabisa wanaendeshwaje na bwana mdogo Netanyau!? Yaan amekua ndio mtoto pendwa wa US zaidi ya wakazi million 300
 
So far sijamuelewa Urusi, japo Nafsi yangu inaniambia ame husika sana na ku maneuver hizo Nyuklia,

Ila China simdai, yeye ndio wa kwanza kumsaidia Iran na zile Cargo, na Pia amempa Iran Access ya Beidou, mpaka unaona vitu vinatoka km 2000 vinapiga exactly jengo lililokusudiwa huyo ni mchina. Msaada huu ni mkubwa kushinda angeleta Mamilioni ya missile na ndege

Kitu nilichojifunza kwa mrusi na misaada yake mashariki ya kati, nikutowaamini waarabu kwa maana ya usaliti.

Waarabu wana historia ya usaliti, kupitia usaliti wao unaweza kupoteza askari wengi sana na hata resources zako na technolojia yako ambayo unaweza ukawa umewasaidi halafu ikaangukia kwenye mikono ya west.
 
Iran atakuwa mjinga kama aliamua kuingia vitani kwa kutegemea nyuma yake yuko Russia na China.
Russia na China sio watu wakutegemea kukupa full support kwenye ugomvi na west.
Russiq na china wanaangalia mgogoro kama unawanufaisha kwa namna yoyote ile, kama hawaoni manufaa wanakula kona

Huwa nawaambia watu wasiwaamini sana wachina na russia, hawana track record nzuri sana
 
Hivi Israel na US waliwaza nini kwenda kushambulia vinu vya nuclear vya Iran? hivi hawelewi kwamba endapo mionzi ya hiyo vinu ingevuja ingeua watu kiasi gani katika hayo maeneo?
Jamaa ni mashetani kabisa, unapiga kinu chenye uranium hapo ni kupelekea mionzi isambae mji mzima..

Na madhara ya mionzi ya nuclear ni makubwa sana.. ina maana hawa jamaa walitaka wananchi wa Iran wafe kwa mionzi ya nuclear?

Iran nimeelewa kwanini hawataki kulenga vinu vya Irsael, mfano Dar kukiwa kuna kinu, kikivuja mionzi kwa asilimia kubwa, mionzi inaweza kusafiri hadi Morogoro na zaidi..
Mkuu tatizo naona wengi hamjaelewa kabla ya kupigwa hapo ilifanyika nini.
 
Ni ushenzi TU hivi wanadhani Iran hawezi kutagert kinu Cha nyuklia Cha Dimona nchini Israel? Na anaweza kuifumua yote kabisa lakini anajua madhara yake ni makubwa kuliko nchi nzima na ni eneo dogo. Marekani ni taifa kubwa lakini kubwa jinga kabisa wanaendeshwaje na bwana mdogo Netanyau!? Yaan amekua ndio mtoto pendwa wa US zaidi ya wakazi million 300

Palipofikia Iran hapaswi kuwa na hiyo huruma, anapaswa kuitandika tu, acha hizo raditions ziwaue tu.
 
Kwa nini huku sema hapo mwanzo lakini aliyopigwa tu ikaanza TAQIYYAH!!! Nyinyi ni waongo kama shetani baba yenu!!
Tatizo wewe huwa ni debe tupu
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-22-11-12-48-192.jpg
    Screenshot_2025-06-22-11-12-48-192.jpg
    341.5 KB · Views: 20
Wairan wanafurahisha serikali yao imegawanyika kati ya reformists na conservatives

Hawa reformists wanafikiri wazungu wana wachekea chekea wana waamini wazungu na taasisi zao.

Wazungu wanapambana western civilization isinguke wala isiangushwe na mtu yoyote na ndio maana wapo tayari kuungana kumshughulikia yoyote yule anaye tishia western civilization kuwa amini hawa watu ni ujinga wa mwisho.
Alichobugi Israel ni kupiga Random Iran, liberal wengi wa Iran wamekufa wanamichezo wakubwa wakubwa wengi wana hadi gold medals etc. Hii imewaunganisha pande zote 2 kuwa kitu kimoja, kama unamfuatilia Lord bebo Twitter ana thread moja ndefu sana, hata hao wanawake ambao wapo Against Ayatollah wanaogomea kuvaa Hijab sasa hivi ni Anti-Israel.

Sasa hivi Iran kuna kundi la waisilamu ambalo ambao ndio wanaonekana laini laini sababu hawataki Nyuklia na kundi la radical wanalotaka Ayatollah akae pembeni Iran Watengeneze Nyuklia.

Inshort hii vita ishafeli kwa Muisrael objective zake ni ngumu kukamilisha ndio maana wenye Akili kama hayo mataifa ya Ulaya wanataka wakae Mezani na Iran, Israel hawezi pigana Vita vya muda mrefu.
 
Back
Top Bottom