SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Lengo la kivamia Iran walitangaza kuharibu uwezo wa Iran kuwa na nuclear na pia regim change, je ni lipi kati ya hayo wamefanikiwa? kwa maana ipo wazi vinu vipo full functinal... regime Ayatollah bado yupo, je nani kashindwa hapo?
Kila kitu ni mchakato, muda utafika na wataachia nafasi.
 
Uranium low quality wachukue ya nini?? wao wanayo Nuclear tayari, wamefanikiwa kuzuia Iran isiwe na hizo silaha, objectives met by 110%
Iran ilishahamisha hizo uranium ambazo zipo highly enriched , sasa elezea wamefanikiwa kiipi kuizuia? kwanza vinu vipo full funtional, uranium wanayo, je wamefanikiwa vipi?
 
Hao mossad kama walikuwa wana uwezo wa kuingia humo ndani na kwenda kuchukua uranium, kwanini wameshindwa kulipua hiko kinu kwa kutega vilipuzi kwa ndani?

Hao wangekuwa na hio access wasingehaika hata kutumia hizo B-2,sijui huu uongo wa wanaoutunga unawasaidia nini, hio sehemu ilikuwa inalindwa na askari wa Iran, hao mossad walipitia wapi?
mifumo ya nyuklia ya iran iko scattered, unakuta unit hii iko mkoa huu, unit hii mkoa ule.. so kumaliza mfumo mzima kwa vilipuzi sio kazi rahisi..pia inawezekana kwamba inahitaji mabomu yenye nguvu kubwa ambayo ni heavy sasa ungeyapitishaje kinyamela?
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-22-11-12-48-192.jpg
    Screenshot_2025-06-22-11-12-48-192.jpg
    341.5 KB · Views: 25
  • Screenshot_2025-06-22-13-44-55-940.jpg
    Screenshot_2025-06-22-13-44-55-940.jpg
    291.1 KB · Views: 13
Ni ushenzi TU hivi wanadhani Iran hawezi kutagert kinu Cha nyuklia Cha Dimona nchini Israel? Na anaweza kuifumua yote kabisa lakini anajua madhara yake ni makubwa kuliko nchi nzima na ni eneo dogo. Marekani ni taifa kubwa lakini kubwa jinga kabisa wanaendeshwaje na bwana mdogo Netanyau!? Yaan amekua ndio mtoto pendwa wa US zaidi ya wakazi million 300
Wana akili kuliko wewe ndio maana operation imefanyika bila hayo madhara unayosema.
 
Mpuuzi sana wewe , yaani nuclear sites zipigwe halafu hiyo nchi iendelee kukalika na radiations leakage ? ,hivi nini wapumbavu wenye elimu za kata mnajua hata maana ya nuclear ni nini ? ,
Mbwa kabisa ,jadilini Simba na Yanga .Ndio maana nishaacha kujadili kwenye hizi mada maana wapumbavu vilaza wasio na elimu wala akili ni wengi , ushabiki na ubishi wa kiseng€ usio na facts
Mimi Nina uhakika nimekuzidi elimu ya darasa.
Uhakiko huo ninazo.

Kwa akili yako unafikili radiation zinasambaa nchi mzima.

Heroshima Japan ilipigwa na nuclear radiation zilisambaa nchi mzima???
Tena nchi ya Japan ni dogo sana, na iran ni kubwa sana
 
Ni ushenzi TU hivi wanadhani Iran hawezi kutagert kinu Cha nyuklia Cha Dimona nchini Israel? Na anaweza kuifumua yote kabisa lakini anajua madhara yake ni makubwa kuliko nchi nzima na ni eneo dogo. Marekani ni taifa kubwa lakini kubwa jinga kabisa wanaendeshwaje na bwana mdogo Netanyau!? Yaan amekua ndio mtoto pendwa wa US zaidi ya wakazi million 300
hawana busara hiyo ya kufikirika, ni kwamba hawana huo uwezo wa kuharibu nuclear ya Israel
 
Back
Top Bottom