SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kwa hali ilivyo Israel vifo vitakuwa ni vingi ila hawatangazi. Waandishi wa habari hasara kutangaza vifo
Mbona mna mlazimisha Israel atangaze vifo vya raia, nyie lengo lenu ni raia wafe au sehemu za kijeshi mbona hatuwaelewi, anyway rusheni missiles zenu Arrows 3 kazimisi azipigie masta
 
Kwa
Leta update mkuu achana na mijadala wengine tunafuatilia kinacho endelea huko hatuna mpango wa kulala kwa sasa ili mionzi ikianza kuzagaa tutoke nduki kuokoa maisha 🙏
RUsia a
British aircraft carrier HMS Queen Elizabeth passes through the Suez Canal.

Mtoto wa malkia akielekea mdomoni mwa Russia
View attachment 3376567
RUsia anaelewa htr iliyopo kwa sasa, anajua mabeberu yameamua kupigana vita, they mean bussiness now hatothubutu kuleta janjajanja awe mpole tu amalizane na zele.
 
Israel imetoa chart kuonyesha bado itawawinda makamanda watatu wa juu wa jeshi la Iran ili kuwamaliza, ambao ni Hassan Sadi, Ali Fadawi na Mohammad Reza Ahstini

Ngoja tusubiri kama wanachosema watafanikiwa
20250622_185620.jpg
 
Pakistan formally nominated President Trump for the 2026 Nobel Peace Prize “in recognition of his decisive diplomatic intervention and pivotal leadership during the recent India-Pakistan crisis.”
 

Attachments

  • FB_IMG_17506082466990691.jpg
    FB_IMG_17506082466990691.jpg
    298.3 KB · Views: 19
Nilikuwa nakujibu kwenye hii sentensi 👇 kwamba Iran ipo asilimia 90 kumiliki WMD, ndio maana nikakaumbia hayo madai yao ya kudai Iran inakaribia kumiliki WMD ni toka 1984 wanasema kitu hiko hiko, hawajaanza leo...
lakini mwaka 84 iran bado hakua na ujuzi huo
 
1/3 ya Majengo ya Tel Aviv Either Yamebomolewa ama yameharibika Kiasi, According to Advisor wa Usa.

Tuangalie size ya Tel Aviv ni 51 km2 aka 51,000 m2

Kama Radius ya kombora ni mita 100 unahitaji makombora mangapi kutindua 1/3 ya 51,000 m2?

51,000 / 3 ni 17,000, then gawanya kwa 100 hapo unahitaji hit kama 170,

Hizo ni Hesabu zangu za Kilayman, pengine sio 100% sawa ila unapata rough idea

Then una Haifa, Golan, Jerusalem na miji mingine,
1 km^2 = 1,000,000 m^2
Kwa hiyo:


51 km^2 × 1,000,000 = 51,000,000 m^2

Tuangalie kama bomu linaweza kuwa na damage radius ya 100 m, hapo tutafute eneo la damage la hilo bomu halafu baadae tuchukue eneo zima la eneo la Israel ambalo ni 51,000,000 m^2 tugawie eneo la damage la bomu moja, then tutapata jumla ya mabomu yanayohitajika kutumika...

eneo la mduara =pi(r^2) = pi x (100m)^2

eneo = 3.1416 x 10000m^2 = 31416 m^2

kupata namba ya mabomu = eneo zima/ damage ya eneo la bomu
namba ya mabomu = 51000000m^2/31416m^2 = 1623 bombs...

Hivyo Tel Aviv yote inahitaji kupigwa na mabomu 1623 tu yenye damage radius ya 100m ili iwe kama Gaza...
 
Wale mashabiki wa Israel leo mumefurahia US kumpiga Iran mkifikiri Iran itakuwa dhaifu. Ndio kwanza mmewaongezea morali. Hayo mashoga ya Tel Aviv yamekula kichapo cha mbwa mwitu leo hii
Kazi ipo hapa
 
Back
Top Bottom